Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Ni miaka saba sio nane. Kama yupo timamu na anajiweza kimalezi nje ya hapo, huwezi acha mtoto akae miaka 7 na mama ambaye ni mlevi, mdangaji anafanya matukio ya kukosa adabu mbele ya watoto.
Ndiyo mkuu, upo sahihi.
pia sheria inasema kama mama tashindwa kulea mtoto/watoto basi baba atakabidhiwa hao watoto/mtoto baada ya uchunguzi kufanyika juu ya malezi mabaya kutoka kwa mama.
 
Wanawake wa siku hizi macho yao yapo juu Kwenye pesa yaani akishaona pesa anachanganyikiwa mazima anajikuta ameukwaa uja uzito wa mtu ambaye hata hamfahamu vizuri.

Kuna member hapo juu kasema suala la kubeba mimba Ni maamuzi ya mwanamke.
 
Gold digger alitaka kuleta usanii kwenye jumba la sanaa
 
Wanawake kama wanaweza zaa na wazee Rika za babu zao, wanaume za watu, vichaa, na kadhalika usishangae wao kuzaa na mtu asiye na sifa za kuwa baba wa familia anayoianzisha bila utaratibu.
Kama unajua hivyo basi pia huna sababu ya kutulaumu wanaume
 
Mo jay lazma anajuta kuzaa na gigy mara aone connection ya mzazi mwenzie,pia yule mtoto wake wa kike atakuwa kwenye malez mabaya..

Mkuu nimejifunza kitu kikubwa tuweke mbegu zetu sehemu sahihi.
 
Sawa mkuu. Ila sasa utamu wa mapenzi ni kama tuseme ni ka Drug. Ulishawahi kuwaona drug addicts?. Ukiwapa mfano wako huu ambao kiukweli ni very logical na inamake sense ila sasa kampe drug addict huo mfano tuone kama utamtoa humo kwenye drug addiction japo akiwa na mind status ambayo inaweza kupita na hiyo chance atapita, ila majority huwez mtoa mtu kwenye drug addctn kisa umetoa mfano ambao ni logial una make sense. Utaingia kichwani kwake sawa ila unaweza ukatoweka humo kichwani mwake after a short time or after sometime.

Sasa mapenzi yanaweza kufeel kama Drug pia. Utapiga utaua ila wenzako wanaendelea hivyo hivyo. Binadamu ndo wako hivyo sasa..

mambo ni mengi muda ndo mchache.
 
Wewe ndio unatakiwa usikojolee ndani Vaa kondom
Sasa mbona KE unawapiga kavu bila ndom na wapo kimya. Na hata ukimjulisha kuwa naelekea kukojoa sasa hachukui hatua yoyote zaidi ya kuongeza miguna ya utamu na unamkojolea ndan kabisa na anajua tena anafurahia. Sasa unataka kuwarekebisha wanaume? utakojolewa ndan na wadau wanakula kona na namba ya simu wanabadilisha.

Utajua hujui.
 
Mlishasema Mimba ya Bahati mbaya ni ya kwanza TU nyingine zote ni MAAMUZI
Hakuna mimba ya bahati mbaya isipokuwa ya kubakwa, au kwa minor, minor anaweza asielewe mzunguko vizuri au asielewe njia za uzazi wa mpango.

Binafsi ningemuomba metal mada aandike uzi wenye heading vise versa na hiyo ya sasa.
 
Ila mkuu mwanaume anaushawishi katika ilo swala naweza sema asilimiaa 70
Dogo punguza utahira basi kidogo, unavyowatetea wanawake mwisho wa siku unaonekana tahira hata kwa hao wanawake wenyewe....

Kwamba mwanaume ndio anachangia kwa 70% kwenye suala zima la mwanamke kubeba mimba? Dogo hivi ina umri gani kwanza?

Mwanamke kama hakuelewi au hajaipenda mbegu yako hawezi akakubebea mimba ng'ooo yaani hata umtombee vipi, kama hajapanga kuzaa na wewe huwezi kumpa mimba hata iweje kwenye zama hizi ambazo kuna njia chungu nzima za kuzuia mimba pamoja na cheap abortions.

Yaani kabisa umekaa hapa unakaza fuvu kwamba wanaume tuko responsible kwenye suala la ubebaji wa mimba, na wakati wao ndio waamuzi wa mwisho na akiamua asikuzalie hata kama mimba ina miezi sita anaweza akaipoteza na huna la kumfanya...

Wewe dogo unaonekana ni mgeni wa wanawake na tayari umeshamezwa na mfumo jike ambao umewafanya wanaume wengi wawe watetezi wa wanawake hata pale ambapo hakuna nmna sahihi ya kuwatetea.
 
Mada nzuri changamoto za ujana ndio chanzo hadi unakuja kuzinduka unakuta ushampa mtoto wa watu mimba

Binafsi naona ni vyema kupambana na chanzo na si matokeo kwakuwa nyege siku zote hazina muongozo.

MAADILI ndio nguzo ya yote hayo, watoto wakike walelewe kama dhahabu wafichwe na wafunzwe kuona aibu na kukataa wanapotongozwa barabarani, wavikwe mavazi yenye stara toka wakiwa wadogo hadi wanakua, waamlishwe utiifu kwa wakubwa n.k

Vijana wakiume walelewe katika kujua nini maana ya uwanaume na si kushinda kutongoza visichana na tabia zingine za kihuni wakizani kuwa ndio uwanaume(uwanaume una miiko), wafunzwe heshima na kuwaheshimu wanawake sio kutukana mitusi ya nguoni barabarani kuwatukana wazazi wao wa kike ni upuuzi.

Na yote hayo yanaweza kufanyika kuanzia ngazi ya familia, ukoo, kijiji, mji mpaka taifa kwa ujumla mfano mzuri ni kijiji cha huko Arusha(nimeona fb) wameweka by-law na kukataza wadada kuvaa nusu uchi,mfano mwingine ni nchi za kiarabu zimefanikiwa kutunza maadili kwa kiasi fulani.
 
Nakumbuka miaka ya nyuma binti akiwekwa mimba anafukuzwa nyumbani. Anaambiwa nenda kaishi kwa huyo aliyekupa mimba. Tena wababa ndiyo walikuwa wakali hivyo binti lazima aende kwa mwanaume aliyempatia mimba wataishi pamoja then mwanaume atafanya utaratibu wa kujitambulisha. Kwa sasa mabinti wengi wanalelewa na single mom hivyo hata akipata mimba hakuna wa kumlazimisha aende kwa mwanaume. Mwishoni naye anakuwa single mom. Pia nyumba aliyokuwa na baba ilikuwa inaogopeka hivyo hata vijana wa kiume walikuwa wanaogopa kwamba hapa nikiweka mimba Msala kwangu. Leo hii nyumba hazina mwanaume heshima uoga umepotea. Kizazi kinazidi kuharibika, vijana waliolelewa na single mom wengi wao hawana adabu, mabangi, matusi hovyo hovyo ni shida kwa kweli.
 
Mimi mfano nikigundua huyu demu hajatulia, tabia mbovu,mkorofi,anakauli mbovu, na kadhalika,then siwezi weka mbegu zangu kwenye mji wake wa uzazi maana najua hatafaa kuwa mke so hafai kuwa mama.
Wanawake huwa wanatabia ya kuigiza.
U-single mother hutokea kwa namna nyingi unaweza kumuoa, ukapata mtoto halafu ukagundua mkeo anagongwa na jamaa huko nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…