Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Basi hapa lawama ni pande zote mbili. Kwenye migogoro ya masuala ya mahusiano lawama zote tunarushiwa wanaume kama vile wanawake ni wajinga wasiojua consequencies za maamuzi yao.
Hapa sijarushia wanaume lawama bali nimewakanya na kukemea tabia ya kujiachia na kutoa mbegu zako kumpa ujauzito mwanamke as if hizo mbegu hazina maana au uzito katika akili yako.
 
Hapa unakuta hujamdanganya ila baada tu ya kuzaa mkaishi kidogo mwanamke anabadilika apo unagundua ni bomu unachimba.
 
Hapa sijarushia wanaume lawama bali nimewakanya na kukemea tabia ya kujiachia na kutoa mbegu zako kumpa ujauzito mwanamke as if hizo mbegu hazina maana au uzito katika akili yako.
Wewe na mimi tuko pamoja katija ili ,usimmpe mimba kama unapita tu
 
Point ya msingi ni hapo kujicontroll. Tomba kama unatomba huko nje ila usipande mbegu yako katika shamba ambalo hauna mpango wa kulimiliki.

Why ufanye mapenzi na kuzaa na mwanamke ambaye mwisho wa siku huyo mwanamke hautaweza kuishi nae na mtoto utashindwa kumlea?
 
Paragraph yangu ya kwanza umeisoma? Omba sana kwenye maisha yako hata ukichepuka husikutane na mwanamke mlozi (sijui kama unaamini vitu kama hivi,ila vipo na watu wanafanyiwa hasa wanaume walio kwenye ndoa).
 
Wapo wanakutegeshea wenyew...unamuuliza kabisa kama yupo kweny red line yeye anajibu hapana...Leo azae na ww
 
Wanawake wa siku hizi macho yao yapo juu Kwenye pesa yaani akishaona pesa anachanganyikiwa mazima anajikuta ameukwaa uja uzito wa mtu ambaye hata hamfahamu vizuri.

Kuna member hapo juu kasema suala la kubeba mimba Ni maamuzi ya mwanamke.
Ni kweli ni maamuzi ya mwanamke kwa asilimia kubwa. Kupenda pesa ni matokeo ya malezi ya hovyo na kiholela plus wazazi kutowapatia watoto mahitaji ya msingi. Usimpofundisha binti yako kuwa kuheshimu mwili wake na kuzingatia mafunzo ya ibada ni muhimu kuliko kuheshimu na kwenda na trends za usichana ambazo baada ya miaka kumi zitamuacha then unamuandaa kwaajiri ya hii mikosi.
 
Embu funguka zaidi hapa
Vijana wa siku hizi hamjapelekwa jandoni la kiumeni kujifunza uanaume na kuwa mwanaume mwenye mbinu za kumudu hila za mwanamke na kuweza kumcontrol matendo na akili yake.

Mojawapo ya mbinu ni kuweza kufanya mapenzi na mwanamke na kujua lini na wapi upate mtoto.

Ni topic nzima inajitegemea kabisa ningekushushia madini hapa mzee ila dah ni ndefu.
 
Mo jay lazma anajuta kuzaa na gigy mara aone connection ya mzazi mwenzie,pia yule mtoto wake wa kike atakuwa kwenye malez mabaya..

Mkuu nimejifunza kitu kikubwa tuweke mbegu zetu sehemu sahihi.
Yaani upuuzi wa siku moja au muda mfupi utampa na kumletea majuto na maumivu ya hisia maisha yake yote.

Kwasasa mtoto bado ni mdogo sasa subiria akue afike umri wa akina Paula jamaa atafurahia movie.

Angekuwa na akili timamu angeenda mahakamani akachukue mtoto kwa nguvu ya sheria na ampige marufuku mwanamke kumsogelea mtoto. Ila alivyobwege amepiga kimya anatazama mtoto wake anavyoingizwa shimo la kuzimu milele. Baba jinga sana lile aisee.
 
Ni kweli mzee. Ila tuwe makini na haya yanayotokea huwa si mapenzi.
 
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…