Kucontrol hata wanaume tunaweza,ila ukizisoma mentality za wanawake wengi wanaotoka na waume za watu target ya kwanza kumkamata huyo mume,ili tu afaidike nae financial atamkamata vip atatafuta way ya kumzalia na kuna wengine hutumia njia za kishirikina kabisa.
Huoni trend za slay Queens wengi kuzaa na waume za watu, hawazai kwa bahati mbaya baada ya hapo wanaamini hawakosi mtaji na mtoto atakuwa kwenye mgao na ndio maana wengi wao huishia kumposti mtoto ila baba mwenye mtoto hawathubutu.
Hiyo akili ya mtoto kuishi kwenye familia hawana kabisa wao ni hela, hizi biashara za wadada wengi wa mjini ukichunguza walio nyuma ni wanaume za watu na haziendeshwi kwa faida bali kwa nguvu ya huyo mume wa mtu.
Mimi kundi single mother ninao walaumu ni wale tu waliozaa na waume za watu wakijua wana ndoa zao, yaani hawakwepi lawama.