Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Inafaa sheria zitungwe kumlinda mtoto,ukizaa lazima ulee,mbona mkienda mayuu mnafata sheria mnaweka zip suruali zenu,mnajua moto wake,huku mnadharau weusi wenzenu.
Point ya msingi sana hii. Mbona wakienda mataifa ya watu wanakuwa serious huku tunajaza watoto wasio na baba.

Mwanamke haeleweki au unamuona kabisa huyu ni changamoto, unazaa nae wa kazi gani? [emoji848]
 
Kwaiyo gigy money haistaili kuwa na mtoto?
Hebu tuliza kichwa chako halafu jiulize hilo swali kwa utulivu, wewe ungekuwa ni mama au baba wa kijana wako anakuletea Giggy money yule unaemjua akakwambia nataka kuzaa na huyu binti awe mkweo, wewe utabariki hayo maamuzi? [emoji848]
 
Kwa mfano, Amber Rutty leo anakufuata anataka kufanya na wewe mapenzi unaweza jiachia nae?[emoji848]

Nakuuliza hili swali kumaanisha, je unapolala na mwanamke na unajiachia ile ya hata ujauzito ukitokea fresh, je huwa unazingatia kuwa mtoto akitokea huyu ndie atakuwa mzazi mwenzako, unazingatia swala kwamba unatakiwa kumchagulia mtoto wako mama wa kueleweka?


Maana kuzaa na mtu si ajali ni process.
 
jana natoka job ni near my home place. nakuta mama anamfokea mtoto wake.. asichezee viatu vibaya. maana amenunua sio mda . ana mwambia " ( acha kuchezea viatu na hata baba yako sijui yupo wapi ) madness. shame. sema i understand. maisha ni puzzle
Unaona sasa vitu kama hivyo, yaani mtoto anatukanwa na kutamkiwa kauli za hovyo na baba yake upo, why usibebe ulee damu yako chini ya usimamizi wako.
 
Kwanini unamkaza na hajitambui?

Kwanza kufanya ngono bila ndoa ni kosa kubwa

Maanake we mwenyewe hujitambui

Binadamu wengi hatuangalii mbele hizi ajali hazitokaa ziishe
Kumbe tupo ukurasa m'moja ingawa tunazungumza kwa lugha tofauti.

Kimsingi iwe ni kwa kuzingatia ndoa kwanza au kupata mwanamke ambaye hata akishika ujauzito basi kumuoa haitakuwa kitendawili.
 
Sasa ikitokea wewe umemuona kuwa anafaa si utapambana usababishe!! Vipi kuhusu yeye ikiwa hana mitazamo kama yako?
Huyo still hatofaa sababu hatabakia. So kama imetokea amekengeuka baada ya kuwa pamoja then hauna budi ila kulea mwanao, why usichukue mtoto ulee kwa msaada wa mama yako na House girl? [emoji848]
 
Hebu tuliza kichwa chako halafu jiulize hilo swali kwa utulivu, wewe ungekuwa ni mama au baba wa kijana wako anakuletea Giggy money yule unaemjua akakwambia nataka kuzaa na huyu binti awe mkweo, wewe utabariki hayo maamuzi? [emoji848]
Kila mtu ana wakufanana Naye kunawatu huwa wanapinga ndoa kisa tu sio kabila moja
 
Inaweza kuwa ajali mbona

Mara moja imo
 
Point ya msingi sana hii. Mbona wakienda mataifa ya watu wanakuwa serious huku tunajaza watoto wasio na baba.

Mwanamke haeleweki au unamuona kabisa huyu ni changamoto, unazaa nae wa kazi gani? [emoji848]
Ndo excuses zenyewe hizo,kama haeleweki mbona akaenda mbali hadi wakashare mazito?
Sheria ndio itakuwa msumeno wa hiyo nonsense uwe umeoa ama la shughulika na salary inakatwa juu kwa juu before upokee ,mtoto apate matunzo,mbona wangetii.
Shida sasa mifumo yetu halijojo.
 
We jamaa ni noma huu nimsumari wa moto na suluhu nikubadirika nikweli kabisa ukisemacho ila wadada wengine wanategesha mimba bila makubaliano mkuu.unakuta umemueleza ukweli kua hatuna mpango wakuzaa ila yy anakomaa tu.
 
This true. Ndio maana wanaume inabidi kuwa makini sana na wanawake tunaozaa nao.
@Zemanda well said mkuu point taken wanaume tunapaswa kua makini nawanawake tunaodate nao maana ndio watakua mama wa watoto wetu.care killed the cat,mda mwingine maisha ndivyo yalivyo tu mkuu hawa wanawake waweza chunguza sana ila ukakutana nagumegume ndio ukazaa nalo.
 
Hakika mzee
 
Hapo sawa mwanamke akiwa mwendawazim hutakiwi kuzaa nae utajuta maisha yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…