Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Hua wanajiona wao malaika kwenye swala la mimba kana kwamba hua wanaziangukia tuu zinajaa tumboni, kwa nini usiwaambie wanawake wasizae na wanaume ambao hawana malengo nao🤔🤔
 
Duh
 
Kataa ndoa ndio wahusika, tena walivyokuwa ovyo hata kuhudumia hawataki.
Na hii ndipo shida ilipo ingawa siwezi walaumu kwann wanakataa ndoa lakini eneo la kuzaa hapo nawavua vyeo. Ukikataa ndoa na kuzaa pia ni sehemu ya Maisha ya ndoa why unazaa na mwanamke ambaye hautaishi nae?
 
Nadhani ungesema hivi, tusizae kabla ya ndoa ingekaa poa zaidi.
Kuzaa kabla ya ndoa kwa miaka hii haijawa changamoto ya kuzuia kuingia ndoani. Kuna watu wamezaa hadi watoto saba ndio wakabariki ndoa.

Kitendo cha wewe kulala na mwanamke na kuzaa nae tayari mshafungamana kiakili, kiroho na kimwili.

Hakuna kitu hapo utafanya bila huyu mwanamke kukujia kichwani mtoto wenu.

Ndio maana hata wanaume tunashauriwa sana kutozaa na mwanamke ambaye tayari ana mtoto au watoto kwa miaka hii maana hata kwa miaka ya zamani ilikuwa inaleta shida ila wazee wetu especially akina baba walikuwa hawaweki mambo hadharani.

Mwanamke akishaanza na mtu anakuwa changamoto sana kwenye kujicontroll tabia.

Yote kwa yote, ukizaa na mtu make sure awe ni mtu ambaye unampenda kweli na yeye anakukubali ile ya ela yote na mnaweza kuishi pamoja kwa upendo hapo ni vema maana hata mtoto akija kwa ghafla familia itaundwa kwa urahisi tu.
 
Mzee umeongea vizuri ila kwenye suala la dreads umezingua, dreads zinahusiana nini na tabia ya mtu? Unazingua mzee wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nsamehe bro, sijamaanisha wanaosuka dreads wote ni wahuni.
 
Sawa sawa.
 
Kwenye suala la kubeba muamuzi ni mwanamke na consquencies zake zinajulikana. Kama mwanamke hayupo tayrai kukabiliana na consequencies za mimba na malezi basi afunge kizazi au asifanye sex akiwa kwenye siku za hatari. Binafsi huwa nawaweka wazi kabisa mademu ninaodate nao kwamba kwa sasa sitaki mtoto sasa akiamua kunitegeshea au kunibambikia iyo mimba mimi sitoitambua
 
Chanzo kikukuu ni mwanamke kutubebea Mimba wakiwa na imani kuwa tutavutiwa zaidi nao.
Siku hizi kuna P2,Condoms,Miso alafu useme zote hizo ni options za kutokuzaa.
Wanawake wengi wamekuwa na tabia mbovu ambazo zinatutisha wanaume kukaa nao wanahisi tutazidi kuwapenda zaidi kumbe vijana siku hizi hatutaki majukumu ya mitoto.
 

Unaakili sana wee Zemanda
Siyo kuwaoa tu, bali hata ukimuoa siyo ndiyo mnafungulia bomba ya kutiririsha watoto. Wazae watoto kilingana na uwezo wao. Kuzaa watoto wengi kwa kisingizio cha kila mtoto huja na riziki yake ni imani potofu na ushirikina. Jamii inapaswa kuondokana na mitazamo hiyo.
 
Kuna yule mwanamke unazaa nae, unamua kuishi nae halafu yeye anaamua kutoa utamu kwa watu wengine, huyu nae avumiliwe kwa kigezo cha kulea mtoto?
Hapana. Huyo mahusiano yameshamshinda, hata vitabu vya Dini vinatuagiza kuachana na mwanamke ambaye anaamua kuanzisha mahusiano nje ya mwanaume wake.

Hapo mwambie tu aende huko anakopendwa zaidi tena ikibidi mpeleke usigombane na mwanaume mwenzako, chukua mtoto kaa nae weka beki tatu mzuri mwenye uwezo sio wasiojielewa unaokota tu huko mtaani kumbe ni jambazi.

Tafuta beki tatu hata wa kigogo ambaye anajielewa sana tu weka hapo ndani muwekee dau zuri la mshahara akulelee mtoto kwa gharama nafuu bila stress.

Mtoto akishafika miaka 7 tu huyo unaishi nae mwenyewe baba bila shida na utafurahia maisha na mwanao bila stress za mapenzi sijui mke anatombwa sijui mke anakuletea fujo za kusoma sms zako na fujo zingine za mahusiano.
 
Na Kuna wanawake wanabeba mimba kama chambo cha kumkamata mwanaume ili amuoe wakati kumbe mwanaume alikuwa anapita tu.
Sasa mwanaume hapo unawajibika kuangalia mbegu zako unaweka wapi. Yaani umwage mbegu kwenye uke wa mwanamke kisa umekubaliana nae kwa maneno ya mdomoni kuwa hatabeba ujauzito?

Kama ni hivyo unaweza kwenda kuweka waleti yako pale karikakoo chini na kuondoka ukitegemea watu wataiona na kuilinda kwamba kuna usalama? Sasa kama hiyo ni ngumu kufanya kwa maana unaona wallet au simu yako ni ya thamani sana kuiacha sehemu isiyo salama kiholela why ushindwe kutunza na kuzuia kuacha mbegu zako katika mji wa uzazi wa mwanamke ambaye hakupi vibe ya usalama wa malezi au mahusiano ikitokea ameshika ujauzito?

Hivi siku serikali waweke sheria kuwa wanaume ukizaa tu na mwanamke then unawajibika kumlipa 2milion za matunzo ya mtoto kila mwezi bila kujali kipato chako na ni deni ambalo utalipa kwa lazima ama utaenda jela unadhani wanaume tutakojoa kojoa hovyo?

Huko ulaya ndicho kilichopo so wanaume wanatumia akili sana kulala na mwanamke na wanawake wa huko ni wajanja anaweza hata chukua bao lako kwenye condom akajikamulia ukeni ile tu umetoka kupiga mzigo ukaingia bafuni yeye anafanya yake unashangaa baada ya miaka mitatu unaitwa mahakamani unadaiwa matunzo ya mtoto kwa miaka mitatu na unatakiwa kulipa haraka ama uende jela.

So wanaume umalaya wao wanafanya na makahaba tu huwezi kuta anajipigia demu hovyo sababu anamtaka maana wanajua balaa lake. Ukizaa nae tu anakuchenjia mapenzi hakuna anataka matunzo ya mtoto tena mahakamani.
 
Sasa tumuweke binti pembeni tumjadili mwanaume na mtoto wake. Hivi wewe umeoa huwezi kutomba huko nje responsibly?

Unaingia chumbani na demu unamtomba kwanza hakikisha unakuwa fundi bao likija uwe umeimaster ile technique ya "Kuruka nje ya gari isiyo na break ikiwa speed ya 120km/h kwenye mteremko mkali huku unavuta cigar mdomoni na umefunga macho na kitambaa cheusi" a.k.a kupaisha mpira.

Mimi mbona hii style nimeimudu kwa muda mrefu naweza tomba demu hapa yupo siku nzuri za kubeba ujauzito ila sitasababisha mimba kwasababu simwagii ndani.

Why nyie ukifika wakati wa kupiga bao unalegeza kiuno unamwagia ndani huo si ufala na unajua una mke na hutaweza mudu kulea watoto wa nje, why ufanye huo ufala?

Huoni unakuja tesa hicho kimalaika ambacho kilitaka baba na mama yake waishi nyumba moja.
 
Huko ulaya ndicho kilichopo so wanaume wanatumia akili sana kulala na
Sisi huku bado sana mambo hayo, tunajipigia tu. Akizaa atajijua, na hata akienda mahakamani unakuta gharama za matunzo siyo kubwa.

Diamond alipelekwa mahakamani alivyomkataa mtoto wa Mobeto. Diamond akaamuliwa aanze kutoa matunzo ya mtoto. Huwezi amini, Diamond na mihela yake yote aliiambia mahakama kuwa uwezo.wake ni kutoa sh 200k kwa mwezi. Ndiyo maana Mobeto akaamua kujikataa kwa Diamond mazima akasema yule siyo mtoto wa Diamond
 
Tatizo watoto wenu wa kike hawana maadili na akili katika ndoa mpaka wazae zen akiolewa ndio anajua thaman ya ndoa
Hili ni eneo ambalo jamii inatakiwa kujikwamua sana hapa tunawazuia watoto wa kike kupewa elimu ya ndoa tukiamini tunawalinda kumbe ndio tunawapoteza kwa speed kali sana.
 
Jukumu la kulinda afya ya mwili ni la kila mmoja,

Haiwezekani nilale na mwanamke tulane pekupeku then anipe ukimwi afu nimlaumu kanipa ukimwi, it makes sense? Wakat ni ujinga wangu kutokutumia kinga, [emoji57]
Ndicho ninachokisema, mwanaume control mbegu zako unapozipeleka maana wanawake hawapo makini na mayai yao.

Mambo ya kuzaa irresponsibly yanazorotesha ustawi wa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…