Wanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani ameshindwa kumwambia Boss wake?
Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.
Hii kitu ni kweli.. nishamsaidia mke wa mtu .. sahv anaropoka bora hata wewe ungekuwa baba watoto wangu [emoji23][emoji23]
Wanaume mliooa nyumban hamjaacha kuku useme atakula wadudu
Achen ela ya matumizi au juwen wanapenda nini muwawezeshe
UNAZINGUAKuna mke wa mtu anakujaga kupikia kwangu jana nimempa kipande cha samaki jumamosi namaliza mchezo maombi yenu
NB sitatumia condom
KATAA CONDOM
Huyo muhuni tu, anakuuliza swali hilo wewe kama nani kwake? AnajitongozeshaKabisa. Eti anasema kwahiyo upo tayari nishinde njaa
Unaandaliwa mazingira ya kupakwa vaseline. Wewe furahia tu.Wanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani ameshindwa kumwambia Boss wake?
Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.
Ungemwambia akupe in exchange for your moneyKabisa. Eti anasema kwahiyo upo tayari nishinde njaa
Usimwamini sana muulize kwanza mume wake kama kweli hajaachaWanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani ameshindwa kumwambia Boss wake?
Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.
[emoji1]Unaandaliwa mazingira ya kupakwa vaseline. Wewe furahia tu.