Wanaume acheni matumizi nyumbani mtapigiwa

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,758
Reaction score
6,299
Wanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani ameshindwa kumwambia Boss wake?

Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.
 
Hii kitu ni kweli.. nishamsaidia mke wa mtu .. sahv anaropoka bora hata wewe ungekuwa baba watoto wangu [emoji23][emoji23]
Wanaume mliooa nyumban hamjaacha kuku useme atakula wadudu
Achen ela ya matumizi au juwen wanapenda nini muwawezeshe
 
Wewe tena utauponza tajiri
 
Wanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani ameshindwa kumwambia Boss wake?

Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.
Unaandaliwa mazingira ya kupakwa vaseline. Wewe furahia tu.
 
Wanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani ameshindwa kumwambia Boss wake?

Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.
Usimwamini sana muulize kwanza mume wake kama kweli hajaacha
 
Back
Top Bottom