Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Wanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani ameshindwa kumwambia Boss wake?
Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.
Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.