Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Wewe unapigwa kizinga hiyo hela ana shida nayo nyingine ameogopa kumwomba jamaa italeta mtafaruku usikute ni kitu ambacho hakipendiWanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani ameshindwa kumwambia Boss wake?
Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.