Umekutana na danga lako huko unakuja kutuvunjia heshima sisi? Mimi ni msafi aisee. Stop this nonsenseMorning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua
Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani
Kazi njema jirekebisheni.
Watakua wanafanana tabiaDuh,kumbe ndio unadate na wanaume wa hivyo,sasa sijui wewe mwenyewe utakuaje
Ila pesa yake huiachiMwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani
Hujamtaja huyo mwanaume ni mumeo au?Morning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua
Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani
Kazi njema jirekebisheni.
Hakika aiseeWatakua wanafanana tabia
Nimeona aibu mm
Hehehehuwa nasikitika sana ukiwavumilia watu kwa madhaifu yao huwa wanageuka na kujiona wao ndo wamekamilika kuliko wewe sasa Mbona nyie wanawake hata mkioga huko chini bado mnanuka shombo ya samaki sisi tunakausha tu ?
πππππLakini kuna ukweli baadhi ya wanaume ni wachafu sana mm nawaita wasela mavi.
Mtu ananuka kuanzia nywele,mdomo,miguu hadi pumb*
Acheni kuichafua dunia aisee!!
Tulia aisee nitakuziba kujamba very soon!saw nakuja pm kwako naona unawashwa unataka kupigwa pumbu
ww mdada !!! Huoni aibu hadi kuanika mwenzako namna hivyo. Siri yamtungi ayijuao mwenyew... Kwanini hujamrekebisha kabla hajatoka nje.?Morning