Wanaume acheni uchafu

Wanaume acheni uchafu

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Morning

Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.

Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani.

Kazi njema jirekebisheni.
 
Morning

Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua

Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani

Kazi njema jirekebisheni.
Umekutana na danga lako huko unakuja kutuvunjia heshima sisi? Mimi ni msafi aisee. Stop this nonsense
 
Morning

Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua

Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani

Kazi njema jirekebisheni.
Hujamtaja huyo mwanaume ni mumeo au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwa nasikitika sana ukiwavumilia watu kwa madhaifu yao huwa wanageuka na kujiona wao ndo wamekamilika kuliko wewe sasa Mbona nyie wanawake hata mkioga huko chini bado mnanuka shombo ya samaki sisi tunakausha tu ?
Hehehe
 
Morning

Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua

Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani

Kazi njema jirekebisheni.
ww mdada !!! Huoni aibu hadi kuanika mwenzako namna hivyo. Siri yamtungi ayijuao mwenyew... Kwanini hujamrekebisha kabla hajatoka nje.?

Kwanza ww unao nafaci kubwa mbele ya mwanaume. ww ni mama watoto muhimili wa familia , ww ni dada anae kaimu nafaci ya mama , ww ni mke mlinzi mzuri wa watoto na mali.
 
Back
Top Bottom