Wanaume acheni uchafu

Wanaume acheni uchafu

Wawe wasafi kidogo ukutane na mtu anajasho Kali alafu mdomo pia unanuka vibaya kiasi kwamba mtu wa kawaida anashindwa kuvumilia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiih
 
Morning

Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.

Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani.

Kazi njema jirekebisheni.
Achana na umalaya, chagua mwanamme mmoja msafi funga ndoa, furahia maisha. Tabia yako mbovu ya udangaji ndio maana unaangukia kwenye makoroma.
 
Achana na umalaya, chagua mwanamme mmoja msafi funga ndoa, furahia maisha. Tabia yako mbovu ya udangaji ndio maana unaangukia kwenye makoroma.
Sasa katika harakati za kumpata huyo mume ndio nipo nafawanyia usahili
 
Sasa katika harakati za kumpata huyo mume ndio nipo nafawanyia usahili
Sasa usilalamike, kukutana na koroma ni jambo la kawaida katika process ya kuchagua nazi nzuri.
 
Back
Top Bottom