Wanaume acheni uchafu

Wanaume acheni uchafu

Hakuna kabisa kitu Kama hiko jaman mtu anashindwa ata kusafish p* kweli mpka zinanuka Kama uvundo wa pumba

Mdomo unatema harufu Kama chemba ya njoo cocastic toa ushahidi
😁😁Kumbe ni kweli!? umeisha fungua code unamzungumzia nani maana had kufikia hatua ya kujua ananuka p* ina maana .... au bas ngoja niishie hapo tu wasije sema namsema bwana ako
 
Nimecheka sana. Lol.

Yaani watu ni wasafi lakini wanawakkka mbaya.
 
Morning

Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.

Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani.

Kazi njema jirekebisheni.
umenikumbusha ule msemo unasema... ndege wafananao huruka pamoja...siku zote kunguru hawezi kuruka na njiwa, kama ulifatwa na mtu wa hivyo inaonesha muonekano wako ulikuwa ni vitu vyake na hadhi yake. NYOTE MJIREKEBISHE.
 
Back
Top Bottom