😁😁Kumbe ni kweli!? umeisha fungua code unamzungumzia nani maana had kufikia hatua ya kujua ananuka p* ina maana .... au bas ngoja niishie hapo tu wasije sema namsema bwana akoHakuna kabisa kitu Kama hiko jaman mtu anashindwa ata kusafish p* kweli mpka zinanuka Kama uvundo wa pumba
Mdomo unatema harufu Kama chemba ya njoo cocastic toa ushahidi
Subutuuuuu, sitaki!Kuwa msafi kwaza
Inawezekana pia kwan walio single huwa wakulani? ila ulijuaje ananuka p*** pasipo kumvuaNipo single
ngoja nije chap pm bas
[/QUOT
Your welcome
Wasio taka kuoga ni hao unaokutana nao,sijui hata hua unakutana nao wapi!Aku swali ni kwanin? Hamtaki kuoga maji yali wakosea Nini?
umenikumbusha ule msemo unasema... ndege wafananao huruka pamoja...siku zote kunguru hawezi kuruka na njiwa, kama ulifatwa na mtu wa hivyo inaonesha muonekano wako ulikuwa ni vitu vyake na hadhi yake. NYOTE MJIREKEBISHE.Morning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.
Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani.
Kazi njema jirekebisheni.