Wanaume acheni uchafu

Wanaume acheni uchafu

Unadate na washamba wenzio wanaonunua nguo wameinama mtumbani hao ndo level zako msafi humpatai ng'o
 
Morning

Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.

Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani.

Kazi njema jirekebisheni.
Sa si ungemwambia moja kwa moja! Unamfungulia uzi siajabu hatoweza kuusoma.
 
1681589653669.jpg
 
Wenye pesa pesA chambi chambi huwa wengi wako rough....
 
Back
Top Bottom