Wanaume ambao hamna wapenzi someni hapa

Wanaume ambao hamna wapenzi someni hapa

Huu ni uchokozi kabisa

Skuiz hakuna wife vijana Wana dream kuwa na mawife wawatakao Ila baada ya miaka anagundua amekosea namba

Anatafuta mchepuko
 
Kwanza ni muonekani uwe si tu wa kuvutia ila awe na sifa zinazocompliment sifa za mwezi wake mf- mwanaume mweupe anaweza kumchukulia mwanamke mweupe kutokufit kuwa wife hata akiwa na mvuto hiyo huwa inagusa hata kimo na mwili
Then ni tabia hapa tabia inabeba vingi kama asili yake kikabila tabaka lake kijamii mf either ni matawi au wa uswazi dini nk

Kwa mtazamo wangu naona hizo ndio key factors nyingine zinaweza kuangukia humo au kuwa ni mbwembwe tu
 
Uyo Ni mzee wa kanyaga twende,
binafs hivyo mi siwezi, nna ugonjwa wa kuchagua Sana [emoji4]
Hii changamoto ya kuchagua inanisumbua.
Usemi wangu ni huu " siwezi kusex kwa kutumia chumvi au kachumbari.
Nikimaanisha kulazimisha nafsi kukubali.
Hii imeniletea ugomvi kwa baadhi kuona nawadharau lkn sio kweli bali naheshimu nafsi.
 
Back
Top Bottom