Wanaume ambao hamna wapenzi someni hapa

Wanaume ambao hamna wapenzi someni hapa

mdada fulani hivi Mweupe,mpole,anadeka, awe zero kilomita au hata kama gari imetembea basi ni kidogo
 
Watakaobakia ndo hao hao kitu cha msingi awe mwanamke tu.Wengine hao ambao tuliwaweka kama wanawake wa ndoto zetu ndo wameishia kutuumiza.
 
1.Awe anahofu na amjue Mungu (Awe mkristo).
2.Awe anajua nini maana ya maisha (siku zote sio junapili).
3.Awe na kazi (level ya elimu yoyote)au akili ya maisha hata ukimpa mtaji aweze kufanya biashara na kutengeneza faida.
4.Awe na shape, mweupe au maji ya kunde.
5.Awe na miaka kati 25-30.

Nawasilisha DM ipo wazi.
 
Back
Top Bottom