Jibu jepesi kama ambavyo bi dada akiwa na dharula ya pesa akaombe kwao basi na jamaa akakojoe kwao tu.Kama ni hivyo kwanini wanaume ndiyo huwa mnataka sana ngono kuliko wanawake
Sasa jamaa kaombaje papuchi na hata asante ya vitendo hana?unamuonea tu.hilo sio jukumu lake.ni jukumu la baba ako
Noted mkuuTabia aliyonayo mchumba wako kabla ya ndoa,.. mkiona itakua ni mara mbili yake usitegemee atabadilika
Kama kubadilika atabadilika kuanzia uchumba.
mzee raha si walipata woteSasa jamaa kaombaje papuchi na hata asante ya vitendo hana?
Kuna umri hawawezi kuomba kila kitu kwao tusikwepe majukumu ndo uwanaume huo
You said it allSasa jamaa kaombaje papuchi na hata asante ya vitendo hana?
Kuna umri hawawezi kuomba kila kitu kwao tusikwepe majukumu ndo uwanaume huo
Umeshawahi mchana laivu?Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.
Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Alishamaliza kampeni na jimbo kaahinda sasa unataka afanye kampeni ya nini na kutoa ngawila?Alishawahi Kama Mara tatu hivi, mwanzon mwa mahusiano
We jamaa acha ukatiliAlishamaliza kampeni na jimbo kaahinda sasa unataka afanye kampeni ya nini na kutoa ngawila?
Mvumilie tu kama anakukuna unakunika,pia usisahau kumpa taarifa baada ya kukunwa kama umefika home salaama
Sio ukatili mkuu jamaa alishashinda jimbo huo ndio ukweli,,hakuna jipya hapo bora mvumiliane tu,,We jamaa acha ukatili
Sio ukatili mkuu jamaa alishashinda jimbo huo ndio ukweli,,hakuna jipya hapo bora mvumiliane tu,,We jamaa acha ukatili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena amwambie wachoyo hawaendi MbinguniHaki na kuambia muache tena muache live na umwambie ni mchoyo , mkono wa birika mfyuu
Kabisa watasikia kwa wenzao tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena amwambie wachoyo hawaendi Mbinguni
Daah, kumbe wengine tuna afadhariDuh ..he is my hero hahah Kwa huo ujasiri.
Lazima kuna mtu alikuwa willing Ku spend hela yake kwako ukamdengulia ..so karma is punishing you...
Hebu mwambie Una shida ya hela umsikie
Exactly! Kila mtu ashinde mechi zake!Jibu jepesi kama ambavyo bi dada akiwa na dharula ya pesa akaombe kwao basi na jamaa akakojoe kwao tu.
Si ndo wanasema kila mtu ashinde mechi zake
Ya jamii au stadi za kazi?mahusiano yanahitaji maarifa.
wewe ni me au ke?Ya jamii au stadi za kazi?
Muwe mnasema, mnahisi tuko ndani ya vichwa vyenu?
Me mkuu,wewe ni me au ke?
ok unachopaswa kujua ni kuwa mahusiano ni maisha kiujumla na ni zaidi ya kwenda kidato au chuo. lkn kwanini hatupendi kujifunza tunaishia kuishi kimazoea eti kwa kuwa tunadindisha basi ndo tumemalza hatutaki kujifunza mengi zaidi khs mahusiano?Me mkuu,
Mkuu nilijua ww ke, nisamehee mkuu