Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Sasa shida ya Nini usumbuke kutafuta ajira usumbuke na kujiuliza maswali ya mtu kukupa hela

We chakufanya ukiwa na hamu mpelekee achape uwe mwepesi hafu endelea na mishe ya kutafuta ajira

Mume akija kwako utajua tu Wala hakuna maswali

Wala usidhani mwanaume anayekuhonga Kila kitu atakuoa subutu yake anahonga wengi tu ndo katika hao wengi Nani atamkosha ndo atakayekuwa mshindi
 
Yaan tangia muanze mahusiano hajawahi kukupa hata mia?? Hata ile ya nauli ya kuzugia?
Sasa uniletee ninyandue harafu nikulipe nauli si ndiyo nimekuhonga kizuri nitakupa hela kwa wakati wangu kabisa ntakaopenda mie
 
Binadamu wengi sana ni wabinafsi, hii ndio sababu kuu ya mambo mengi kuharibika. Leo hakuhudumii ukiwa bado mpenzi, kipindi ambacho wanaume huwa tunajitutumua kwa baby zetu... je ukiingia ndani ya ndoa na huku umezalishwa, chuchu zimelala, n.k ataweza kweli kukuhudumia?
Jiongeze Mdada maana hiyo ni Alert kwako!
 
Kwa sifa hizo inaonekana huyo bwana ako ni mtoto wa mwisho kwao na waliomtangulia walikuwa ni watoto wa kike.
Kweli ama sio kweli?

Kama ni kwel nambie nikupe ushauri
Umwage tuu huo ushauri uokoe jahazi.. mtaa wa pili huku bae katanguliwa na madada kuzaliwa.
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Inaonekana haujui unachofanya,huyu ukimfanyia vitu exception atakuwa anakupa hela bila kumuomba!!
 
Umwage tuu huo ushauri uokoe jahazi.. mtaa wa pili huku bae katanguliwa na madada kuzaliwa.

Mbona nimetanguliwa na madada lakini sina izo tabia? Kuzaliwa wadada wa kwanza isiwe sababu tabia ya mtu kutokana na malezi wala sio kigezo cha kuzaliwa.
 
Yap jamaa Ana pesa , cheo na vyote ulivyosema

Wanawake sijui mkoje, yani kwenye mahusiano hamuwazi mapenzi, mnachowaza ni pesa za mwanaume tu..

By the way, kabla sijakushauri chochote naomba nikuulize, huyo mwanaume ulie nae unampenda kweli toka moyoni au unampendea hela hesalieyo
 
Mbona nimetanguliwa na madada lakini sina izo tabia? Kuzaliwa wadada wa kwanza isiwe sababu tabia ya mtu kutokana na malezi wala sio kigezo cha kuzaliwa.
Ni kweli kabisa, inawezekana. ila nimekua anxious pia saabu mwenyewe nna dogo wa kiume na kwenye issue ya hela(kwa relationship) yuko so sensitive.. na ananiambia wazi kabisa. Wifi ajipange yeye sio type ya kutoa ela.
 
Umwage tuu huo ushauri uokoe jahazi.. mtaa wa pili huku bae katanguliwa na madada kuzaliwa.
Ukiona katanguliwa na wadada yeye kawa wa mwisho jua kuwa mind yake ilisetiwa kulelewa na kuongozwa. Usikae ukasubiri akuoneshe kukujari Pasipo ww kumwambia.
  • wanapenda sana kujariwa wao kuliko wao kujali wenzao; sio kwamba awajali hapana wanajali ila hawajui kuonesha physically kuwa wanakujali ama ku- appreciate juhudi zako physically. Hii kwa sababu ya mazingira aliyo kulia yalikuwa hayamjengi kuwa responsible kwaajiri ya hisia za mwingne directly naisi ata ww unajua si rahisi dogo kumbembeleza dada yake ila atataka yeye abembelezwe na dada akilia.
  • Mara nyingi uwa ni watu wa lawama sana kuwa uwajari ama uwapendi ata kwa kisa kidogo ila niwasikivu sana. Sasa nijukumu lako ww kuwa unamwambia ukweli unapoitaji kitu toka kwake usisubiri yeye ajiongeze. Anaweza kukuita alaf hakupi nauli mwambie ukweli kuwa sina nauli ama ninashida hii. Yeye kukuona upo karibu naye ndio kujari kwake huko mambo mengne akiri yake itaona upo sawa tu. uamini siku moja uje umwambie "kila siku nakuja kwako ata unipatii nauli" jibu zuri utaambiwa "kwan uliniomba nikakunyima" ama "mm najua uwa unayo kila siku" kwa sababu yy kaakulia mazingira ya kujaliwa sio yeye kujari wengine
Ushauri hapo ni kuongea usimuonee aibu usipo muongoza jua yy atojiongoza, chochote utacho itaji tooa kwake mwambie usisubili akuulize.

Tambua ana badirika ukiamua kumbadili. Leo niishie hapo
 
Sex sio kipaumbele chetu ndio maana tunaweza kukaa miezi na miezi tusifanye.... Halafu umesahau kama maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho?

Pesa zetu sisi wanaume ndo kipaumbele chenu enyi wanawake, Zesh
 
Ni kweli kabisa, inawezekana. ila nimekua anxious pia saabu mwenyewe nna dogo wa kiume na kwenye issue ya hela(kwa relationship) yuko so sensitive.. na ananiambia wazi kabisa. Wifi ajipange yeye sio type ya kutoa ela.

Hahaa muulize vizuri huyo mdogo wako wa kiume unaeza kuta kuna matatu:

1) Kiasilia yeye ni bahili
2) Alishawahi kuchunwa pesa na mdada halafu papuchi hakupewa,
3) Hataki kupendewa hela, anataka apendwe yeye kama yeye sonnita
 
Back
Top Bottom