Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Binadamu wengi sana ni wabinafsi, hii ndio sababu kuu ya mambo mengi kuharibika. Leo hakuhudumii ukiwa bado mpenzi, kipindi ambacho wanaume huwa tunajitutumua kwa baby zetu... je ukiingia ndani ya ndoa na huku umezalishwa, chuchu zimelala, n.k ataweza kweli kukuhudumia?
Jiongeze Mdada maana hiyo ni Alert kwako!
Kungekuwa na option ya dislike ningedislike huu ushauri wako
Bro unayajua madhara ya kumhudumia mwanamke ambae hujamuoa bado?
Wewe Ni mwanaume kweli?
 
Ni kweli kabisa, inawezekana. ila nimekua anxious pia saabu mwenyewe nna dogo wa kiume na kwenye issue ya hela(kwa relationship) yuko so sensitive.. na ananiambia wazi kabisa. Wifi ajipange yeye sio type ya kutoa ela.

Hayo ni maneno tu tena hao wanaosema hvyo ndio mabingwa wa kuzitoa sana. Binafsi najitoa kwa kiasi nilichonacho kwa ninaempenda.
 
Binadamu wengi sana ni wabinafsi, hii ndio sababu kuu ya mambo mengi kuharibika. Leo hakuhudumii ukiwa bado mpenzi, kipindi ambacho wanaume huwa tunajitutumua kwa baby zetu... je ukiingia ndani ya ndoa na huku umezalishwa, chuchu zimelala, n.k ataweza kweli kukuhudumia?
Jiongeze Mdada maana hiyo ni Alert kwako!
Kwan nani kasema huyo jamaa anampango wa kumuoa?!
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Dah... baby..yaani umenifungulia Uzi..mbona haya yanazungumzika tu [emoji15][emoji2960]
 
Kungekuwa na option ya dislike ningedislike huu ushauri wako
Bro unayajua madhara ya kumhudumia mwanamke ambae hujamuoa bado?
Wewe Ni mwanaume kweli?
Nafahamu tena sana ila kumtia binti wa watu bila kumsaidia ni aibu kwa mwanaume kama VP jamaa apige nyeto maana haina gharama maana atatumia mate kwani hata hiyo sabuni nayo ni gharama kwake
 
Hata asipange kumuoa, unafikiri anachomfanyia huyo binti ni sahihi?
Kama huyo binti hana thamani na pesa yake ni muhimu basi apige punyeto maana haina gharama kwani anaweza kutumia hata mate kwakuwa hata hiyo sabuni ni gharama.
Ina maana demu kapelekwa gest bure au labda alikwenda kwa jamaa, hakupewa hata soda au chips!
Au jamaa unataka agharamikie nini iwapo ni demu wake?! au nauli ya bajaj?!
 
Kuna mwanaume ana uwezo wa kawaida sana ila ile care na mapenzi anayokuonyesha hata siku akikwama asipokupa chochote huwezi kucomplain sababu unamjua mtu wako vizuri.
Ila huyo anaonekana ni male version ya slay queens, be very careful.
Kwaio Care ni kutoa hela?
 
Kwa hiyo ukitembea na mtu ndo huwezi kumwacha ?ni kuvumilia upumbavu sababu ushatembea nae?
Huyo mwingine utakayemtafuta, kigezo chako ni awe anakupa hela kwanza (hiyo unayoita kujali), kabla hajakuoa?!
 
Wapi nimeandika hivyo
Nilipo ku quote umeashiria hivyo maana umesema ya kwamba mapenzi anayo kupa + care...hata kama hana hio siku unaelewa kwaio mapenzi ni mapenzi na care kwa ulivyo ashiria ni hela maana kama amekwama hatokupa hio siku na wewe utaelewa...au nimeelewa vibaya?
 
Back
Top Bottom