Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,935
Ni kweli mkuu hawa wengi wanajiuza tofauti ni kwamba hawasimami barabarani tu...Wanawake wengi wanajiuza, ila hilo huwa hawawezi likubali. Wao huamini wale wanaojiuza bar ndo malaya.
Ni kweli mkuu hawa wengi wanajiuza tofauti ni kwamba hawasimami barabarani tu...Wanawake wengi wanajiuza, ila hilo huwa hawawezi likubali. Wao huamini wale wanaojiuza bar ndo malaya.
Naomba utaje list ambayo papuchi imekuwezesha kumiliki.Haki na kuambia muache tena muache live na umwambie ni mchoyo , mkono wa birika mfyuu
Wala sio pesa zenu
Kaka chakula, kjnywaji na gharama ya guest ni mahitaji ya lazima kwa mpenzi, kama hupendi gharama ni nyeto tu! Hata huko India ambako mwanamke hulipa mahali, mwanaume ndiye anayeendesha familiaIna maana demu kapelekwa gest bure au labda alikwenda kwa jamaa, hakupewa hata soda au chips!
Au jamaa unataka agharamikie nini iwapo ni demu wake?! au nauli ya bajaj?!
Muwe tu mnasema mnauza bei gani, kuliko kuzungia na neno 'mwanaume hajali'Kaka chakula, kjnywaji na gharama ya guest ni mahitaji ya lazima kwa mpenzi, kama hupendi gharama ni nyeto tu! Hata huko India ambako mwanamke hulipa mahali, mwanaume ndiye anayeendesha familia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaka nakubaliAlimradi kanipa tunda hayo mengine sio ishu. Ntamlipia boda boda na hela ya P2 aende akanunue ameze akifika kwao!
daah kamanda big up sana, ujumbe Bora Sana huu Hawa watu wanawawekea matakataka kwenye bongo zao wewe mwanamke ni bidhaa mpaka uhisi na kufikiri mimi kukupa hela ni haki yakoYaaani huu mfumo ni wakijnga sana ..iimefikia hatua wanawake kupewa pesa na wanaume wanaona kuwa ni wajibu wao ..hata Kama hawaja zitolea jasho
Mimi sharia yangu nikiwa na mwenamke kwenye mahusiano ni kujikuna ninapo weza na kufanya jambo linalonipa amani na si kumfurahisha yeye na ujinga wake wa kupewaYaaani huu mfumo ni wakijnga sana ..iimefikia hatua wanawake kupewa pesa na wanaume wanaona kuwa ni wajibu wao ..hata Kama hawaja zitolea jasho
Ha ha ha umeanza nitafute nije nkuonyeshe liveNaomba utaje list ambayo papuchi imekuwezesha kumiliki.
Na Sisi ni pesa tuHahaa hadi mnakuja kutufungulia Uzi humu jf kisa hatuwapi hela, half ke mnasapotiana hiko si ndo kipaumbele chenu
Sisi wanaume kipaumbele chetu ni papuchi tu, hayo mengine cjui uje unipikie, unifulie, unipe tigo etc.. hayo ni ziada. Zesh
Nature ipi mkuu, embu elezea logically nature kivipi, nani ametaka iwe nature makubaliano yalihainisha nini na niniThat is nature, huwezi pingana nayo.
sasa huyo ni mchumba wake, au mke wake ?Hivi wanaume mnapokuwa mnataka wachumba zenu au wake zenu wawapikie na wawafulie ninyi huwa hamna mikono?
sasa tatizo la hao wanaolalamika linawetuathiri vipi sisi tusiolalamika?Teh wasipopikiwa na wasipofuliwa si ndiyo hao wanaokuja humu kulalamika utasikia "mwanamke gani hawezi kumpikia wala kumfulia mpenzi wake huyo kwenye ndoa ataweza kweli"
nataka nikutukane kwa kukusifia zile za kimtaaniMama Mchungaji.....
Haya mambo ya mahusiano/uchumba/ndoa ni mambo ngumu sana kuzishauri. Na hii ni ngumu zaidi kushauri hasa unapo sikia oneside of the story.
Lakini pia, sioni Kama ni Jambo lenye afya ama kujenga ikiwa mmoja kati ya wawili atatoka nje yao na kutafuta ushauri kwenye social networks ilkhali wangeweza wakaongea wao ana kwa ana na wakajiweka sawa kwa kila mmoja kusema kinacho mkwaza.
Umeelewa vibayaNilipo ku quote umeashiria hivyo maana umesema ya kwamba mapenzi anayo kupa + care...hata kama hana hio siku unaelewa kwaio mapenzi ni mapenzi na care kwa ulivyo ashiria ni hela maana kama amekwama hatokupa hio siku na wewe utaelewa...au nimeelewa vibaya?
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.
Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
Kabisa ... Hiyo para ya mwisho sahihi kabisaMimi sharia yangu nikiwa na mwenamke kwenye mahusiano ni kujikuna ninapo weza na kufanya jambo linalonipa amani na si kumfurahisha yeye na ujinga wake wa kupewa
nikitaka nyapu namgusia akikubali nakodi uwanja nalipia gharama zote yeye kazi yake ni kupata raha akisema sitaki kuja, simlazimishi akikubali hasitegemee kupewa hela
Humu Kuna wanaume wanajifanya wanatoaga hela hovyo hovyo ni kufake tu
Hela ngumu kinyama haipaswi kuletewa dharau hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hawajui tu huwa wanajishushia thamani yao Sana... Halafu ikitokea waka fanyiwa vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia wana andamana wakati wao mwenyewe ndio wanao jikaribishia hayo matatizo ...ukisha amua kuwa mtumwa wa fedha kubali pia na kudhaliishwadaah kamanda big up sana, ujumbe Bora Sana huu Hawa watu wanawawekea matakataka kwenye bongo zao wewe mwanamke ni bidhaa mpaka uhisi na kufikiri mimi kukupa hela ni haki yako
huna mikono, huna miguu wewe kilema yaani tuanze mahusiano tu nianze kukutumia hela kukupa zawadi tuna mipango gani wewe ni mke wangu, je tukija kuachana mambo yote makubwa niliyofanya
kwanini wanafikiri wao ni wakupokea pesa ambayo hawajaifanyia kazi maana mahusiano ni hiari si lazima
Wawakamate hao hao makarungu yeye
hovyo Sana hizi mentality zao
Sent using Jamii Forums mobile app