Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Hahaa hawajui tu huwa wanajishushia thamani yao Sana... Halafu ikitokea waka fanyiwa vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia wana andamana wakati wao mwenyewe ndio wanao jikaribishia hayo matatizo ...ukisha amua kuwa mtumwa wa fedha kubali pia na kudhaliishwa
Kweli kabisa, naona hata bungeni wanasema wanadhalilishwa, wakati walikubali masharti hapo kabla ya kuwa wabunge.
 
Huu uzi wanaume wanaoshobokea mademu humu hawawezi ku-comment against, watakuja kuungana na mwanzisha mada, huku moyoni wakiumia kuhonga.
 
Ukiona katanguliwa na wadada yeye kawa wa mwisho jua kuwa mind yake ilisetiwa kulelewa na kuongozwa. Usikae ukasubiri akuoneshe kukujari Pasipo ww kumwambia.
  • wanapenda sana kujariwa wao kuliko wao kujali wenzao; sio kwamba awajali hapana wanajali ila hawajui kuonesha physically kuwa wanakujali ama ku- appreciate juhudi zako physically. Hii kwa sababu ya mazingira aliyo kulia yalikuwa hayamjengi kuwa responsible kwaajiri ya hisia za mwingne directly naisi ata ww unajua si rahisi dogo kumbembeleza dada yake ila atataka yeye abembelezwe na dada akilia.
  • Mara nyingi uwa ni watu wa lawama sana kuwa uwajari ama uwapendi ata kwa kisa kidogo ila niwasikivu sana. Sasa nijukumu lako ww kuwa unamwambia ukweli unapoitaji kitu toka kwake usisubiri yeye ajiongeze. Anaweza kukuita alaf hakupi nauli mwambie ukweli kuwa sina nauli ama ninashida hii. Yeye kukuona upo karibu naye ndio kujari kwake huko mambo mengne akiri yake itaona upo sawa tu. uamini siku moja uje umwambie "kila siku nakuja kwako ata unipatii nauli" jibu zuri utaambiwa "kwan uliniomba nikakunyima" ama "mm najua uwa unayo kila siku" kwa sababu yy kaakulia mazingira ya kujaliwa sio yeye kujari wengine
Ushauri hapo ni kuongea usimuonee aibu usipo muongoza jua yy atojiongoza, chochote utacho itaji tooa kwake mwambie usisubili akuulize.

Tambua ana badirika ukiamua kumbadili. Leo niishie hapo
Shukrani,Umeongea mapoint point mengi ,hasa apo kwenye kua ni wasikivu sana, kua nae karibu ni bonge la credit kwake .
Pia hapo kua wanajali sana ila haonyeshi ile wazi wazi ipo kwa hawa jamaa. Na kukupa kitu chake siyo shida kabisa sema ndo apate hint kua unakihitaji akupe, ukiomba hapo ndo anakua more than willing kukupa mpaka unaulizwa kama imetosha.
I think kuexpress ndo challenge.
 
Kifupi, 'mpenzi' wako hana wajibu wowote kwako hasa wa kifedha isipokuwa pale atakapojisikia kufanya hivyo, na afanye kwa hiari.

Kukupa au kutokukupa ni hiari yake, hivyo tambua kuwa mpaka sasa hajaamua kufanya hivyo, na akiamua atafanya tu. HIARI HAILAZIMISHWI.

Zingatia hili, kutokukupa pesa au kutokukununulia zawadi/vitu, sio kigezo cha kupima uwajibikaji wake kwenye familia mbele ya safari. Jiulize, je mbali na hayo uliyoeleza, hakuna wajibu mwingine usio wake huwa anatekeleza?

Najaribu kudhani, yawezekana hamajazungumza au amesahau vitu upendavyo ikiwemo kujaliwa...au tabia yako ya kutokuomba/kumkumbusha juu ya upendavyo inamfanya aone umejitosheleza kwa kila kitu.

Jaribu kufanya hivi, mtekelezee yeye yote ambayo hakutekelezei. Mfunze kwa vitendo, ndio utajua ukweli wa kwanini hafanyi hivyo.
 
Noted with thanxs 🙏
 
Nature ipi mkuu, embu elezea logically nature kivipi, nani ametaka iwe nature makubaliano yalihainisha nini na nini

Yaani wewe kutaka kupewa hela usiyoifanyia kazi ilihali hauna tatizo lolote mental and physical, unadai ni nature

Kwanini badala yake usiombe kazi akutafutie kazi, akukopeshe hela ufanya biashara?

Emancipate yourself from mental slave

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
 
Kungekuwa na option ya dislike ningedislike huu ushauri wako
Bro unayajua madhara ya kumhudumia mwanamke ambae hujamuoa bado?
Wewe Ni mwanaume kweli?
Hapo utakuwanayo unakosea Mimi mtoa mada sijalalamika kwamba hanihidumii, jaman hata appreciation kwamba huyu mwanamke nimemuomba tukutane anaweza kuwa kaacha shughuli nyingine myhimu lakini kakubali kuja, basi ata umjali kwa nauli, anajua mpenzi wake kwa Sasa Hana kazi, ata Kama unatetea huu ni ubinafsi was kiwango Cha juu
 
Hata asipange kumuoa, unafikiri anachomfanyia huyo binti ni sahihi?
Kama huyo binti hana thamani na pesa yake ni muhimu basi apige punyeto maana haina gharama kwani anaweza kutumia hata mate kwakuwa hata hiyo sabuni ni gharama.
Kweli kabisa jamaa ni mselfish ,
 
Wanaume mwenzangu, Mwanamke kukuvulia nguo na kukupa kitumbua chake ni amekupa heshima kubwa sana. Tuwarudishie heshima kwa kuajali.

Anaumia, anachoka, anavuja jasho unavyomshindilia ukuni, tuwafute jasho kwa Ahsante ya soda, nauli.

Kama ni mpenzi wako ni vema ukamjali angalau kwa vocha, nauli, urembo apendeze.

Sasa unataka nyapu bure hutoi Asante, huo ubahili ni vema ununue mche wa sabuni upige punyeto.
Umeongea yote , ubarikiwe🙏 Tena utakuta anadai mkeshe,😂
 
Hapo utakuwanayo unakosea Mimi mtoa mada sijalalamika kwamba hanihidumii, jaman hata appreciation kwamba huyu mwanamke nimemuomba tukutane anaweza kuwa kaacha shughuli nyingine myhimu lakini kakubali kuja, basi ata umjali kwa nauli, anajua mpenzi wake kwa Sasa Hana kazi, ata Kama unatetea huu ni ubinafsi was kiwango Cha juu
Kama huna kazi, jamaa hakufanyii fare.
 
jiulize kwanza mtu akikuuluza swali la unampenda kwa shida na raha jibu utakalo toa ndo maamuzi yako
 
Yaan huwezi amini, anakuaga na unaondoka Kama ulivyokuja, sijawahi ona hi, na akikuaga anakwambia ukifika nijulishe[emoji4]
Mmh mbona kama nshawah kutana naye huyo faza ati nimeenda kwake akaniulza una nauli?nkamwambia nnayo ndio,njiani nkawaza hyu vp nkamkatilia mbali
 
May be nikuulize Machache, mna mda gani na huyo mpenzi, na je sasa hiv amekuwa tofauti na alivyokuwa mwanzo kama jibu ni ndio amekuchoka chukua hatua. Kama Hamja kuwa wapenzi kwa muda mrefu basi ni mapema Sana kulalamika na inaweza kuwa hicho ni kipimo tu kama kweli unampenda au unazuga. Mwisho si ujaribu sku moja kumwambia leo sina nauli dear si unajua sina kazi uskie ata kujibu vip?

* sjasoma comments zote.
 
Back
Top Bottom