Na kweli usemalo Baba Mchungaji japo kama ujuavyo mahusiano huwa yanachukua muda kila mmoja kuwa muwazi kwa mwenzi mana si ajabu mahusiano ni mapya na hata namna ya kusema wakae chini wazungumze haipo.Mama Mchungaji.....
Haya mambo ya mahusiano/uchumba/ndoa ni mambo ngumu sana kuzishauri. Na hii ni ngumu zaidi kushauri hasa unapo sikia oneside of the story.
Lakini pia, sioni Kama ni Jambo lenye afya ama kujenga ikiwa mmoja kati ya wawili atatoka nje yao na kutafuta ushauri kwenye social networks ilkhali wangeweza wakaongea wao ana kwa ana na wakajiweka sawa kwa kila mmoja kusema kinacho mkwaza.
Vingi tu tafuta Makungwi/Somo wazuri watakufahamisha!!Kama bipi hivyo?
😂😂😂sura personalMnaingiaga mikenge Sana na watanashati..
Wengi wao very selfish..
Kiatu cha laki mbili halafu mpenzi hata nauli hampi?..
Atakua akukosha moyo na anavyo vaa na u handsome wake...ukimpost watsaap unajiona
Umepata ...huku unaumia kimyakimya..
Akija jamaa Sura personal..kiatu cha elfu kumi
Hata salam hupokei kumbe ana uwezo wa kukujali mara tano ya huyo
Chindy😂😂😂sura personal
Mwanaume kuhonga ni kawaida ukishajiona huwezi kuhonga jichunguze hamkawiagi kuipangia matumizi mishahara ya wake zenu nyieHuu uzi wanaume wanaoshobokea mademu humu hawawezi ku-comment against, watakuja kuungana na mwanzisha mada, huku moyoni wakiumia kuhonga.
mmh ndugu yangu huyo hapo kidogo kuna tatizo, hapo solution ni kuongea nae tu nazani mkiliongelea kila mmoja atauelewa upande wa mwenzie vizuri zaidiNi kweli Kuna siku nilijikaza saana coz roho iliiuwa inaniuma kuongea siwezi,na yeye hajui kinachoniumiza, basi tuliongea kwa simu Kama.kawaida ya Kila siku na kabla ya kulala lazma tuwasiliane, nikamwambia baby ila mm Nina shida siko vizuri financially, naomba unisaidie kiasi chochote, imagine Tena mwisho wa mwezi, akanijibu nimechelewa kumwambia ameshapanga mahitaji ya mwezi ,pia anajenga so.kawalipa mafundi nikamwambia sawa, imagine hajauliza ata kiasi ninachohitaji
😂😂😂😂🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏 Umeua mwamba eti bi mkubwa anashindia karotiWenzako sikuhizi wanatuekea nyama ukeni wengine wanatufungia kwenye chupa basi unakuta tunazitoa sana noti kama tumeoa bi mkubwa anashindia karoti ela zote kwake
Anyway tuachane na hayo
We kwani unaonaje ? maana kabla hujaandika Uzi tayari jibu unalo
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.
Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
[Usielekeze akili yako kwenye fedha utafeli ...wanaume wako na awareness ya kutosha kwenye uhongaji siku hizi ukileta fujo kwenye hio idara utaachwa na wengi
Mwanaume kuhonga ni kawaida ukishajiona huwezi kuhonga jichunguze hamkawiagi kuipangia matumizi mishahara ya wake zenu nyie
Unamtongozaje mtoto wa mtu akuvulie chupi hafu siku akitaka chupi akaombe kwao ni sawa hii
Nahisi twisha elemewa tayali kama mpaka sisi tunataka usawa na wa kike.
Kuhonga ni sehemu ya majukumu ya kiume.
[Tuondokane na dhana kwamba kuvua chupi ni utumwa au adhabu kwamba lazima ilipiwe ile ni starehe zaidi ya starehe nyingine sababu Kila mtu ana uhitaji nayo usihamasishe watu kununua mapenz
🤣😂🤣😂 Malipo hapahaoa inaezekana Kuna msela kampiga Sana hela so ngoja apigwe freeDuh ..he is my hero hahah Kwa huo ujasiri.
Lazima kuna mtu alikuwa willing Ku spend hela yake kwako ukamdengulia ..so karma is punishing you...
Hebu mwambie Una shida ya hela umsikie

Hana ata usharobaro wowote, basi tu labda Kama ni bahiliTatizo la kupenda Sharobaro kikubwa vumilia
Mkuu soma kwa making kuomba pesa siyo jadi yangu🤣😂🤣😂 Malipo hapahaoa inaezekana Kuna msela kampiga Sana hela so ngoja apigwe free
Mwanaume wa hivyo hana akili achana naye. Ananunua kiatu cha laki mbili lakini mpenzi wake hata vocha ya buku jero hatoi?? Bado unamfata fata wa nini sasa madam hesalieyo. Au ukute anakulingishia maskini kumbe hana kitu?? Kuwa makiniNajua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.
Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
Noted mkuuMwanaume wa hivyo hana akili achana naye. Ananunua kiatu cha laki mbili lakini mpenzi wake hata vocha ya buku jero hatoi?? Bado unamfata fata wa nini sasa madam hesalieyo. Au ukute anakulingishia maskini kumbe hana kitu?? Kuwa makini
Hesalieyo chukua ushauri huu, nilishawahi kuwa na mwanaume design hii ,kumbe ji majivono tu hakuwa na kituMwanaume wa hivyo hana akili achana naye. Ananunua kiatu cha laki mbili lakini mpenzi wake hata vocha ya buku jero hatoi?? Bado unamfata fata wa nini sasa madam hesalieyo. Au ukute anakulingishia maskini kumbe hana kitu?? Kuwa makini
Wapo wengi tu na ni wajanja hata magari ya kuazima anahakikisha kila mnapoonana ana gari na utajua ni yake kumbe hata baiskeli hana.Hesalieyo chukua ushauri huu, nilishawahi kuwa na mwanaume design hii ,kumbe ji majivono tu hakuwa na kitu