Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Muambie jinsi ulivyochoshwa na ubahili wake uliopitiliza.
 
Baada ya kusoma ushauri mlionipa niliamua kumweleza kwa Sasa siko vizuri financially hivyoo ninahitaji msaada wake, alisema sawa na akaniahidi ,siku Fulani ambayo ilikuwa Ni mwisho was mwezi, kunipatia kiasi hicho Cha pesa.

Kumbuka Mimi desturi yangu si muombaji pesa, hivyoo iliiuwa Ni ngumu kumkumbusha, mpaka ninavyoongea hapa
Hajanipa hicho kiasi, nanikiongea nae haoneshi dalili ya kukumbuka chochote, sidhani Kama anesahau nadhani Ni muendelezo tu wa tabia yake ya ubinafsi.

Maamuzi niliyoamua Mimi baada ya kuona huyu Mtu hajali,niliamua kuachana nae Tena bila kumwambia chochote kwa maana ya kwamba sitamtafuta Mimi, labda anitafute yeye, na sometimes nisipopokea simu au kujibu text yake atajiongeza mwenyewe .

Ajabu Ni kwamba Ni wiki ya pili na siku kadhaa Sasa limtu hata halijiongezi why silitafuti, limekazana kunitafuta tu ,na hakumbushii ahadi yake aloahidi.

Naomba mnijuze njia ya kumuacha ajue sababu ya Mimi kumwacha najua jf hakuna linaloshindikana.
 
Weeeee dea hebu acha kujipa stress, piga kibuti cha haja tyuuh, atajiongeza mwenyewe na ubahili wake, jitu zima hovyooooh, mxieeeeeeew zake.
 
[emoji28] khaaa we mwanamke wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah sasa yeee si anaona pesa zake n thaman kuliko utu wa mwenzie, ndo akae kwa kutulia hakna namna, ama neneh
 
Weeeee dea hebu acha kujipa stress, piga kibuti cha haja tyuuh, atajiongeza mwenyewe na ubahili wake, jitu zima hovyooooh, mxieeeeeeew zake.
😂😂😂😂 Umenichekesha saana, noted dear
 
Weeeee dea hebu acha kujipa stress, piga kibuti cha haja tyuuh, atajiongeza mwenyewe na ubahili wake, jitu zima hovyooooh, mxieeeeeeew zake.
😂😂😂😂 Umenichekesha saana, noted dear, yaan sijawahi ona mkono wa birikaa ka Yule mtu, k anaipenda na pesa anazipenda, kutwa nzima kujipigisha simu anaumwa ,anajiskia vibaya ili nikamuone na apate chance ya kupata k 😂,na mm alinambia anaumwa namwambia pole saana mm pia nimeaka na malaria😂 inakuwa ngoma droo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenichekesha saana, noted dear, yaan sijawahi ona mkono wa birikaa ka Yule mtu, k anaipenda na pesa anazipenda, kutwa nzima kujipigisha simu anaumwa ,anajiskia vibaya ili nikamuone na apate chance ya kupata k [emoji23],na mm alinambia anaumwa namwambia pole saana mm pia nimeaka na malaria[emoji23] inakuwa ngoma droo.
Sasa hapo weee piga kmya km week, akikucheki n mwendo wa majibu ya shortcut, km mbwaiih na iwe mbwaiiiih, hakuna kuremba muandikooh. Kwan Tsh ngapi? Aaaaaaah
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.

Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
Dada Apo umejitolea kama field embu jiongezeee uyo sio mwanaume wa ndoto zako
Achana nae tuu tafutaa kazi uwazee mambo menginee Hana umuhimu wowotee.
Kama hauwezi muombee tu hela uoneee.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Mwanaume wa hivi hata kutunza familia yake hatotunza sababu amezoea kuanzia mwanzo wewe unajitegemea kila kitu. Mwanaume anae kupenda atakujali kwa Fedha zake, ukiona mwanaume ukiongea habari ya pesa anakua mkali jua huyo hajui wajibu wake kama Mwanaume na amesoma akaacha shule shuleni kichwani hamna kitu
 
Hyo nk dalilo moja wapo ya kwamba hana malengo ya kukuoa, yaani kwa kifupi hana mpango ma wewe ,we jiongeze tuu
 
Mwanaume wa hivi hata kutunza familia yake hatotunza sababu amezoea kuanzia mwanzo wewe unajitegemea kila kitu. Mwanaume anae kupenda atakujali kwa Fedha zake, ukiona mwanaume ukiongea habari ya pesa anakua mkali jua huyo hajui wajibu wake kama Mwanaume na amesoma akaacha shule shuleni kichwani hamna kitu
Nashangaa huyu mwanaume sijui wa wawapi?
 
Mmh!! ndugu chukuwa hatua mapema, fanya maamuzi magumu hakuna hulka inayobadilishwa hiyo ndiyo tabia yake ya hasili
 
Inategemea the way mlivyoishi kipindi una kazi yako, so analipiza
 
Mmh!! ndugu chukuwa hatua mapema, fanya maamuzi magumu hakuna hulka inayobadilishwa hiyo ndiyo tabia yake ya hasili, jifanye mapenzi mubashara uje ulie baadae ukiwa umeshaingia kwenye ndoa. Alichokiunganisha mungu binadamu hawezi kukitenganisha, hapo ndipo utakapopambana na hali yako ukiwa umeshapoteza muda, chukua hatua
 
Back
Top Bottom