- Thread starter
- #421
Ni kweli mkuu tabia Ni Kama ngoziiiMmh!! ndugu chukuwa hatua mapema, fanya maamuzi magumu hakuna hulka inayobadilishwa hiyo ndiyo tabia yake ya hasili
Ni kweli mkuu tabia Ni Kama ngoziiiMmh!! ndugu chukuwa hatua mapema, fanya maamuzi magumu hakuna hulka inayobadilishwa hiyo ndiyo tabia yake ya hasili
That's a stupid ego. Amka acha ujinga dada yangu au mdogo wangu. Usipende kutegemea mwanaume hata siku moja. Pamoja kivyavyako na ukifanikiwa hakika utaheshimika sana kuliko kulialia kuwa mwenzako hakujali. Unataka kusema kwamba mwanaume ndiyo suluhisho la matatizo yako? Kama ulianzisha mahusiano ili upate mwanaume wa kukuhudumia kwa kukupa hela umekwisha dada yangu. I take pity on you.Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.
Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
Mwanaume wa hivi hata kutunza familia yake hatotunza sababu amezoea kuanzia mwanzo wewe unajitegemea kila kitu. Mwanaume anae kupenda atakujali kwa Fedha zake, ukiona mwanaume ukiongea habari ya pesa anakua mkali jua huyo hajui wajibu wake kama Mwanaume na amesoma akaacha shule shuleni kichwani hamna kitu
Mwezi wa nane naanza kazi mkuuTafuta kazi ujitegemee, usitegemee mwanamme.
Kumpima Mtu ata Kama Anna shida ya dharura na pesa anayo, mbona vitu vingine anafanya kwa kutumia pesa, means Mimi so muhimu kwakeKwahiyo huwa mnaanzisha mahusiani ili mwanaume akupe pesa? Ni sheria kwamba asipokupa ulalamike hapa na pale? Katika maisha ya uchumba watu hupimana kwa na namna mbalimbali huenda jamaa anampima mke wake kwamba siku akifulia hana hata senti moja je ataweza kumvumilia?
Hivyo msipende kuwa wepesi wa kuhukumu mtu bila kujua lengo la kufanya hivyo ni nini?
Nadhani hujaelewa mkuu, tangu nimeanza nae mahusiano sijawah muomba pesa Wala hajawahi kunipa, kwa Sasa nilikuwa katika kipindi Cha mpito Cha kukosa kazi na yy anajua, hivi kipindi Kama hiki kumsaidia mwenzako Kuna dhambii gani na si kwamba huna fedha?That's a stupid ego. Amka acha ujinga dada yangu au mdogo wangu. Usipende kutegemea mwanaume hata siku moja. Pamoja kivyavyako na ukifanikiwa hakika utaheshimika sana kuliko kulialia kuwa mwenzako hakujali. Unataka kusema kwamba mwanaume ndiyo suluhisho la matatizo yako? Kama ulianzisha mahusiano ili upate mwanaume wa kukuhudumia kwa kukupa hela umekwisha dada yangu. I take pity on you.
Nachukia sana wanawake wenye akili kama za kwako. Mungu akinijalia nikapata mtoto wa kike nitakuja kumfundisha kujitegemea na siyo utegemezi wa kijinga.
Kama ni kweli anakunyima mpaka ukiwa kwenye shida. Naomba ujitathimini mapema. Hakuna mwanaume ataacha kumsaidia mpenzi/mke wake wakati wa shida. Hata kama hana atakopa kwa watu ili atatue hilo tatizo. Labda kama hakupendi. Tupo wanaume ambao hatujui kubania pesa kwa wapenzi wetu.Kumpima Mtu ata Kama Anna shida ya dharura na pesa anayo, mbona vitu vingine anafanya kwa kutumia pesa, means Mimi so muhimu kwake
Hapo Sasa nadhan umenisomaKama ni kweli anakunyima mpaka ukiwa kwenye shida. Naomba ujitathimini mapema. Hakuna mwanaume ataacha kumsaidia mpenzi/mke wake wakati wa shida. Hata kama hana atakopa kwa watu ili atatue hilo tatizo. Labda kama hakupendi. Tupo wanaume ambao hatujui kubania pesa kwa wapenzi wetu.
Mkuu pole sana. Mkuu nimegundua kitu kimoja kutoka kwako kwamba wewe ni mwanamke hasa sema tu huyo jamaa anakuchukulia poa sana. Watu wanapata bahati sema tu wanashindwa kuzitumia hizo bahati zao. Ila ambao tunatamani tupate wanawake wa kaliba yako hatupati hata. Nimesikitika sana.Nadhani hujaelewa mkuu, tangu nimeanza nae mahusiano sijawah muomba pesa Wala hajawahi kunipa, kwa Sasa nilikuwa katika kipindi Cha mpito Cha kukosa kazi na yy anajua, hivi kipindi Kama hiki kumsaidia mwenzako Kuna dhambii gani na si kwamba huna fedha?
Yaan we unaona Ni ufahari wa yeye kununua vitu vya gharama Kama viatu laki mbili huku alinionyesha nimchagulie kwa Tambo wakat mm ninemuomba Nina shida Tena bila kutaja kiasi, hivi huoni Kama huo Ni ubinafsi?
Kubali tu huyu Mtu Ni mchoyo na mbinafsi, over.
Hajawahi Best
Mkuu nilishajiongeza tangu nimepost humu jf, kwa kujiondoa kwake simtafuti kwa simu wala text, Wala kwake siendi, nashangaa limtu Bado linang'anganiza kunitafuta ata hajiongezi,Angalia vizuri usikute wewe upo kwenye hayo mahusiano peke ako[emoji3][emoji3]
Mwanaume anatoa pesa pale anapo papenda
Mkuu nilishajiongeza tangu nimepost humu jf, kwa kujiondoa kwake simtafuti kwa simu wala text, Wala kwake siendi, nashangaa limtu Bado linang'anganiza kunitafuta ata hajiongezi,
Siwezi lazimisha furaha wakati Sina, Ni Bora nisiwe na hayo mahusianoHivi skia mahusiano unajua nn mahusiano no kupeana amani. Furaha upendo sw kukupa pesa nikuongeza upendo akupe au asikupe no yeye haupaswi kulalamika sw
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.
Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.
Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
Mjini mipangoHII TRICK NI NZURI. INAMWANDAA MWANAUME ANAYEKUTONGOZA KUJA KUKUHUDUMIA. HIVYO ANAYEKUJA ANAKUJA KABISA AKIJUA ANAPASWA AWE ANAKU SPONSOR.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MJINI HAPA AKILI KICHWANI. VIJANA WAPUUZI WATAMIMINIKA SANA NA ITAKUWA TU RAHISI WEWE KU REFER HII THREAD "UNAJUA LOVE HALI YANGU KAMA NLIVYOANDIKA KWENYE ILE THREAD"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni akili yako na mawazo yako,siwezi kukulaumu.HII TRICK NI NZURI. INAMWANDAA MWANAUME ANAYEKUTONGOZA KUJA KUKUHUDUMIA. HIVYO ANAYEKUJA ANAKUJA KABISA AKIJUA ANAPASWA AWE ANAKU SPONSOR.😂😂😂😂 MJINI HAPA AKILI KICHWANI. VIJANA WAPUUZI WATAMIMINIKA SANA NA ITAKUWA TU RAHISI WEWE KU REFER HII THREAD "UNAJUA LOVE HALI YANGU KAMA NLIVYOANDIKA KWENYE ILE THREAD"😂😂😂😂😂😂