Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Sijui nani alileta Mfumo tegemezi wa wanawake kwa wanaume

Kwani we huna Mikono?
Si ufanye kazi?

Kwani we kwanini usimpe unategemea kupewa? Mnajishusha Sana wanawake, !!!

Ww sio mzm Ndio manaana ya kichwa cha familia nyoo
 
Nikuulize swali mkiagana asubuhi anakuaga hivi hivi?..

Manake kibongobongo kumuaga mdada bila hata nauli ngumu sana..
Wengine haondoki... hahaaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaa muulize vizuri huyo mdogo wako wa kiume unaeza kuta kuna matatu:

1) Kiasilia yeye ni bahili
2) Alishawahi kuchunwa pesa na mdada halafu papuchi hakupewa,
3) Hataki kupendewa hela, anataka apendwe yeye kama yeye sonnita
Naona number tatu inahusika husika ivii. Japo sina uhakika.
Anavoongea it's like akiombwa ela kavile anaona bidada anamchukulia boya flani.
 
Naona number tatu inahusika husika ivii. Japo sina uhakika.
Anavoongea it's like akiombwa ela kavile anaona bidada anamchukulia boya flani.

Na kweli, Mara nyingi mdada akimuomba mwanaume hela mwanzoni mwa mahusiano kabla ya kutoa papuchi, kimoyomoyo anamchukulia huyo mwanaume kama mtu mshamba asie na mvuto sonnita
 
Na kweli, Mara nyingi mdada akimuomba mwanaume hela mwanzoni mwa mahusiano kabla ya kutoa papuchi, kimoyomoyo anamchukulia huyo mwanaume kama mtu mshamba asie na mvuto sonnita
Ila sasa Huyu dogoangu sio mwanzoni tuu[emoji38][emoji38][emoji28]..
 
Kinachoniudhi ukiwanae anataka umshauri vitu kama viatu au nguo Kama ni nzuri anataka kuagiza,kwenye mtandao,na nivyagharama.hadi nachoka aisee
Ile kampeni ya Vunja Ukimya hukuielewa Mdada.? Mwambie nataka samaki wa kupakwa. Usikae kimya alafu unakuja kupiga kelele huku. Kama unauhitaji wa hela unamwambia, wengine hawajuagi kumfikiria mtu, lakini ukimwambia ninashida na kiasi kadhaa, Anakupa Tena kwa Upendo. Nimefuatilia ulivyomuelezea, kwamba huwa anakuuliza..uko vizuri?

Hapa Ni wazi kuwa anakuwa anataka kujua Kama unauhitaji wa fedha akupe, Sasa Kama unamjibu Niko Safi, anaona Hakuna haja. Kwa hapa tu napata picha kuwa mpenzi wako siyo baili Ila wewe siyo muwazi kwake.

Nakuagiza kuanzia Leo kuwa muwazi kwake utaona utofauti.
 
Wewe ni wife material, jamaa hakupi hata mia lkn bado umekomaa naye tu,aisee hongera sana.Vidume watoa huduma mbona Tupo!!!,hata km ukiwa na mshahara wako bado tutakuhudumia kwasababu ni wajibu wetu.
 
May be nikuulize Machache, mna mda gani na huyo mpenzi, na je sasa hiv amekuwa tofauti na alivyokuwa mwanzo kama jibu ni ndio amekuchoka chukua hatua. Kama Hamja kuwa wapenzi kwa muda mrefu basi ni mapema Sana kulalamika na inaweza kuwa hicho ni kipimo tu kama kweli unampenda au unazuga. Mwisho si ujaribu sku moja kumwambia leo sina nauli dear si unajua sina kazi uskie ata kujibu vip?

* sjasoma comments zote.
[/QUOTe
Hujasoma coment s zote tafadhali rejea comments uone na majibu alonijibu
 
Ile kampeni ya Vunja Ukimya hukuielewa Mdada.? Mwambie nataka samaki wa kupakwa. Usikae kimya alafu unakuja kupiga kelele huku. Kama unauhitaji wa hela unamwambia, wengine hawajuagi kumfikiria mtu, lakini ukimwambia ninashida na kiasi kadhaa, Anakupa Tena kwa Upendo. Nimefuatilia ulivyomuelezea, kwamba huwa anakuuliza..uko vizuri?

Hapa Ni wazi kuwa anakuwa anataka kujua Kama unauhitaji wa fedha akupe, Sasa Kama unamjibu Niko Safi, anaona Hakuna haja. Kwa hapa tu napata picha kuwa mpenzi wako siyo baili Ila wewe siyo muwazi kwake.

Nakuagiza kuanzia Leo kuwa muwazi kwake utaona utofauti.
Sawa nitajitahidi
 
Ila sasa Huyu dogoangu sio mwanzoni tuu[emoji38][emoji38][emoji28]..

Hahaa mdogo wako kazidi ubahili, mm demu akinipa papuchi bure bila kunisumbua, halaf siku au wiki chache za baadae akaniomba hela, kama ninayo mm nampa kiroho safi kadri ya uwezo wangu, maana najua hayupo kwangu kimaslahi sonnita
 
Hongera kwa moyo huo
 
Wenzako sikuhizi wanatuekea nyama ukeni wengine wanatufungia kwenye chupa basi unakuta tunazitoa sana noti kama tumeoa bi mkubwa anashindia karoti ela zote kwake

Anyway tuachane na hayo

We kwani unaonaje ? maana kabla hujaandika Uzi tayari jibu unalo
Kweli wewe ndio mlevi mmoja
 
Back
Top Bottom