Wanaume chukueni madini hapa namna ya kuishi na hawa wanawake ili usife mapema

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu habari za wakati huu

Kutokana na malalamiko mengi kuendelea juu ya hawa wanawake hizi ni mbinu na akili pekee ya kuishi na hawa viumbe

1: Kua na msimamo mkali usio na madhara na mwanamke akifanya kitu cha kukukomoa usionyeshe kama umeumia mpuuze

2: Usiweke demokrasia na mwanamke na wala usiwe muongeaji sana kwake

3: Wanaume tujipende wenyewe, tunywe maji mengi na tufanye mazoezi pia tusiwekeze amani ya mioyo yetu kwa wanawake.. amani yetu iwe ni Mungu yani kila ukihisi mwanamke anakutingisha mpuuze ila kwa imani yako mwambie Mungu wewe ndiye amani na furaha ya moyo wangu na maisha yangu na siyo huyu mwanamke , pia mwambie Mungu na jua wewe unanipenda sana alafu endelea na maisha yako na endelea kuishi na huyo mwanamke na usimuweke moyoni ila ikitokea kacheat usisamehe mwanamke . yani jiaminishe hivyo na uwe unakiri hivyo uone kama kuna mwanamke yeyote atatokea akutingisha.

4: Mwanamke wako kikunyima unyumba usionyeshe huna pa kwenda , mpuuze na usirudie tena kumuomba unyumba wala usibembeleze akupe unyumba anajua hiyo ni haki yako na lazima akupe . Anapo kunyima piga kimnya na usirudie tena kuonyesha unamtaka kwa siku kadhaa wa kadha mpaka yeye akupe mwenyewe na akikupa ichape alafu potezea tena hii itamjengea mwanamke ajione mjinga na aache upuuzi wa kukunyanyasia tamuu

5: Mwanamke akikuonyesha kila dalili za kutaka kuvunja ndoa , usimsaidie kuivunja atakugeuzia kibao. Wewe mjibu simple mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe kwa mikono yake . Akikuambia anaondoka usitetereke mjibu kama unaona kuondoka ndiyo solution sawa alafu tulia zako

6: Mwanaume usitegemee huyo mwanamke utaishi nae milele amini ipo siku ataondoka lakini usimwonyeshe kama unajua ipo siku ataondoka

7: mwanaume mwanamke akikucheat hata kama una watoto nae kamwe usifanye kosa kumsamehe , wanawake wapo wengi achana na huyo kahaba . Utapata mwanamke mwingine na maisha yataenda vizuri. Ukimsamehe ataendelea kukucheat achana na huyo malayer

Nb.. Mwanamke anafanya kitu huku anajua madhara yake kamwe usiamini mwanamke ni kiumbe dhaifu.
 
Taabu yote hiyo ya nini? Si uishi tu peke yako!!!
 
kwani nini kimetokea siku hizi,motavashonosipika wamekuwa wengi kulekcha namna ya kuishi na ubavu wa pili! mm kwenye hili ni watu wafate vitabu vyao vya imani na wafate mienendo ya wazee waliotangulia mbona wao waliweza,wapi kizazi hiki kinafeli!?
 
Siku hizi ule msemo wa "kumuacha mwanaume kwa sababu ya usaliti ni sawa na kuhama nchi kwa sababu ya mvua" unatakiwa utumike kote kwa wanaume na wanawake, vinginevyo endeleeni kujifariji wanawake wa sasa hawajali tena uwe mwema uwe mbaya kwao siku zote utakuwa mbaya tu, ndivyo mlivyowaaminisha hivyo lazima waishi kwa kujihami na siyo kosa lao bali tabia zenu ndio zimewageuza wanawake kuwa hivi walivyo sasa
 
Hichi kinachotokea ni Athari za Usawa wa Kijinsia mwanamke ni kitu flani hivi kama fenicha ila chenyewe kinataka kujigeuza shoka ila ni ubatili kwani matiliyo aliyoumbiwa nayo ni laini kuanzia kichwani mpaka unyayoni .
 
Kuna muda ukiwa kwenye mapenzi "uwezo wako wa kuchanganua mambo ya kazi na kujiimalisha wewe mwenyewe unakuwa mdogo ,hii ni kutokana wanawake wanapenda attention ambayo haina afya kiakili ,ndio maana watu wengi wenye pesa na ma genius wanahistroria kubwa sana ya kuishi mbali nao"
 
Back
Top Bottom