Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kelele kubwa inayopigwa na wanaume wa Tanzania kukatisha tamaa wanaume kutembea na wake za watu inatokana na inferiority complex(hali ya kujihisi duni).
Hakuna mwanaume anayejiamini atakaa anafikiria mke wake au wake za watu kutoka na wanaume nje ya ndoa.
Kauli za "mke wa mtu ni sumu" ni kauli za hofu tu za kujilinda kwa wanaume dhaifu kwa sababu ya hofu ya kutoweza kumudu kufanya wanawake wao wasichepuke au kuachwa kabisa.