Wanaume fanyeni kazi ya kuwanyonya matiti wake zenu

Wanaume fanyeni kazi ya kuwanyonya matiti wake zenu

Matiti ni Point of weakness kwa baadhi ya......... sasa si balaa hilo!
 
Mhhhh hili ni tusi kwa wanawake. Wanatuzalia Watoto hadi wanne na zaidi na wanalinyonya kila mmoja say 1-2 years. Wewe unalinyonya. Likianguka unaliita lapa. Hata la mom wako ni lapa kwa kuwa mlinyonya na baba yako alinyonya. Tuwape heshima wanawake. Ulimuoa yakiwa SAA 6 leo ni lapa. I love you mama Bahati na iko wazi. Hata uzeeke you will remain my rose flower( jina nilokupa our first date over three decades ago). Sitegemei physically uonekane kama nilivyokuoa ukiwa na 24 years na haitabadili upendo kwa kuwa uzao una erode na umri pia. Wekeni staha kwa wanawake hasa wake zenu. Msipobadili utashi utaishia kukimbizana na Nyumba ndogo kila leo na huko hakuna faida. Pamba mkeo au mpenzi wako kila siku awe mpya.
naunga mkono hoja.
 
Hivyo hivyo kishingo upande maana hamna namna wanahitaji msaada. Ni kama kunywa kiroba hakina utamu lakini tunavumilia tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti.

Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa kunyonywa sana matiti yao na kwa nguvu.

Kunyonywa Matiti kunapunguza hatari ambayo hutengeneza uvimbe ambao husababisha kansa ya matiti.

Matiti yanatakiwa yanyonywe mara kwa mara kwa kadri iwezekanvyo. Wasaidie wanawake zenu kupambana na kansa ya matiti.

Wanaume fanyeni kazi yenu nyonyeni matiti sasa, na wanawake kuweni wepesi kuachia kunyonywa.

Hii ni meseji toka wizara ya afya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya matiti.
Tatizo ni kwamba hatujaolewa [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nini atatunyonya
 
Mhhhh hili ni tusi kwa wanawake. Wanatuzalia Watoto hadi wanne na zaidi na wanalinyonya kila mmoja say 1-2 years. Wewe unalinyonya. Likianguka unaliita lapa. Hata la mom wako ni lapa kwa kuwa mlinyonya na baba yako alinyonya. Tuwape heshima wanawake. Ulimuoa yakiwa SAA 6 leo ni lapa. I love you mama Bahati na iko wazi. Hata uzeeke you will remain my rose flower( jina nilokupa our first date over three decades ago). Sitegemei physically uonekane kama nilivyokuoa ukiwa na 24 years na haitabadili upendo kwa kuwa uzao una erode na umri pia. Wekeni staha kwa wanawake hasa wake zenu. Msipobadili utashi utaishia kukimbizana na Nyumba ndogo kila leo na huko hakuna faida. Pamba mkeo au mpenzi wako kila siku awe mpya.

Naunga mkono maoni yako

UNAPOMDHALISHA MWANAMKE, UNAWADHALILISHA WANAOKUHUSU SITA
1. Bibi yako (Nyanya yako),
2. Mama yako,
3. Shangazi yako,
4. Mkeo,
5. Dada yako
6 na shemejio
 
Naunga mkono maoni yako

UNAPOMDHALISHA MWANAMKE, UNAWADHALILISHA WANAOKUHUSU SITA
1. Bibi yako (Nyanya yako),
2. Mama yako,
3. Shangazi yako,
4. Mkeo,
5. Dada yako
6 na shemejio
Mkuu ongeza na Mabinti tunaozaa. Mungu atuepushe na laana. Kabla MTU hajasema ni bora afikirie kwa ubongo. Asante kwa orodha hii. Barikiwa mno. Wanawake ni Maua yanasinyaa haraka hivyo yatunze kwa kuyamwagilia.
 
basi iambie serikali ianzishe charity game jili ya kufanya hili tukio liwe endelevu
 
Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti.

Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa kunyonywa sana matiti yao na kwa nguvu.

Kunyonywa Matiti kunapunguza hatari ambayo hutengeneza uvimbe ambao husababisha kansa ya matiti.

Matiti yanatakiwa yanyonywe mara kwa mara kwa kadri iwezekanvyo. Wasaidie wanawake zenu kupambana na kansa ya matiti.

Wanaume fanyeni kazi yenu nyonyeni matiti sasa, na wanawake kuweni wepesi kuachia kunyonywa.

Hii ni meseji toka wizara ya afya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya matiti.
mimi nilishaanza kitambo tu kwa shemeji yenu mbona,ina raha yake pia
 
[emoji382] [emoji381] [emoji381] [emoji341] [emoji350] [emoji350] [emoji16]
 
1. Mnawasaidia kutopata Saratani ya Matiti

2. Mnawasaidia kuimarisha Hormones zao

3. Mnawasaidia kuondoa Seli ambazo zimeshakufa katika Matiti yao

4. Mnawasaidia kuweka sawa mzunguko wao wa Damu

5. Mnawasaidia kuwaondolea Magonjwa nyemelezi

6. Mnawasaidia kusikia zaidi Utamu mkiwa mnawafanya

7. Mnawasaidia kuwafanya wawe na Furaha muda wote

Sawa Dada Naomi tumekusikia ila nawe waambie Wenzako wajitahidi sana Kufua Bra zao kwani Wengine tunashindwa Kunyonya Matiti yao kwakuwa unakuta Bra moja inavaliwa Wiki nzima bila kubadilishwa Titini hadi unakuta na hata Matiti yenyewe nayo yanafanana na Bra kwa Uchakavu na Uchafu uliotukuka.

Ngoja nami sasa Usiku huu nimtafute wa Kumnyonya Matiti ili nione hadi Kesho asubuhi atakuwa kapata Faida mjumuisho kwa haya mambo Makuu Saba ambayo Dada Naomi kayasema au ni yale yale tu? Na hata Sikumbuki mara ya mwisho Kumnyonya Demu Matiti ni lini kwani Mimi Kazi yangu ni Kuuchomeka na Kukojoa tu.
 
Back
Top Bottom