Yaani hata hukasiriki ? nakutakia weekend njema rafiki yangu wa ukweli.Lakini kuna lingine limezimika kaliwashe kule kwa judith lol!Uzuri ni kwamba hubby hua haamini maneno ya watu!Anajua ni wivu tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hata hukasiriki ? nakutakia weekend njema rafiki yangu wa ukweli.Lakini kuna lingine limezimika kaliwashe kule kwa judith lol!Uzuri ni kwamba hubby hua haamini maneno ya watu!Anajua ni wivu tu!
Dude!!Yaani hata hukasiriki ? nakutakia weekend njema rafiki yangu wa ukweli.Lakini kuna lingine limezimika kaliwashe kule kwa judith lol!
ngoja aje Dena athibitishe nani Sharobaro kati yetu lol!
kamanda, mie Lizzy nishamzoea. Hapa anamzingua CPU halaf huku PM ananiimbia bluz za mariah carey.Yaani hata hukasiriki ? nakutakia weekend njema rafiki yangu wa ukweli.Lakini kuna lingine limezimika kaliwashe kule kwa judith lol!
Watu wanazimika kama vibatari aisee...inabidi hubby aniwekee ulinzi sasa!Kabla sijasahau nenda kwenye thread ya miss judith kuna mwingine kakuzimikia tena lol!
Aisee
Lisemwalo lipo . . . .
kamanda, mie Lizzy nishamzoea. Hapa anamzingua CPU halaf huku PM ananiimbia bluz za mariah carey.
Mwalimu Dena katuona wote atathibitisha nani sharo,siwezi kuwa Sharo nina mvi mie lol!Kwahiyo kati ya KLOROKWIN, CPU NA UPOROTO tumekonkludi nsni ni sharobaro
Ahaaa ahaaa kwahiyo anabakia CPU na KLOROKWINMwalimu Dena katuona wote atathibitisha nani sharo,siwezi kuwa Sharo nina mvi mie lol!