Unasema??Ngoja nisome majibu yao .....wanakera kweli kweli
Kupitia Uzi huu naomba niwaambie zesh nasomaaaaaaaa kule pm swali la nafanya kazi gani silitaki
Ova
Eeeeh ndiyo hivyo mzee babaUnasema??
Mi nimeshindwa kukuelewa kabisa.. Em ngoja lknEeeeh ndiyo hivyo mzee baba
Usichoelewa kipi hapo hebu rudia kusomaMi nimeshindwa kukuelewa kabisa.. Em ngoja lkn
Sio hapo ni wewe kiujumlaaUsichoelewa kipi hapo hebu rudia kusoma
Mzee baba kimya sana CHIEFHahahaha
Duh hahahahahahahahaSio hapo ni wewe kiujumlaa
Hahahaha, nipo mkubwa, km hivi tunasoma,tuna like na quote zile comments nzuri nzuriMzee baba kimya sana CHIEF
HahahahaUsichoelewa kipi hapo hebu rudia kusoma
Ok, pamoja chiefHahahaha, nipo mkubwa, km hivi tunasoma,tuna like na quote zile comments nzuri nzuri
MTC | 101| [emoji769]
Naona umeenda Msata kupasha kiporo
Msata kwa Mshana Jr auNasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?
Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.
Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.
Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.
Location : Kihangaiko Msata .
Dharau kivipi ?Hizi ni dharau kwa mama zetu...
Ila upweke lazima ule sahani moja na mtu aliye single.Haina shida hakuna aliyekufa kwa kutokua na mwanaume
Haina shida ukizoea kawaida tu...Ila upweke lazima ule sahani moja na mtu aliye single.