Wanaume hamuwezi kunitongoza bila kuniuliza una mtoto au unafanya kazi gani?

Wanaume hamuwezi kunitongoza bila kuniuliza una mtoto au unafanya kazi gani?

Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?

Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.


Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.

Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.

Location : Kihangaiko Msata .
Msata kwa Mshana Jr au
 
Back
Top Bottom