Wanaume hamuwezi kunitongoza bila kuniuliza una mtoto au unafanya kazi gani?

Wanaume hamuwezi kunitongoza bila kuniuliza una mtoto au unafanya kazi gani?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?

Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.


Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.

Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.

Location : Kihangaiko Msata .
 
Ngoja nikupe Siri kiukweli Kama Ni TUnataka kukuoa hatupendi ma single maza.hata uwe mzuri kiasi gani hatutaki mizigo ya homosapiens wengine kila mtu apambane na Hali yake.ila Kama Ni kupita TU hatuchagui hata Kama uwe na watoto nane sisi tunakamua TU..Sasa naona hao wanaokuuliza hivyo itakuwa wanataka kukuoa ndo maana
Kuhusu kazi mbona ipo wazi wewe Ni muhudumu wa bar flan maarufu na mnakuwaga weupe nyie ma barmaid af watamu balaa na visketi venu mkitupia na viraba
 
kwenye simple introduction yoyote ili ikamilike.. kuna jina lako, unapotokea, age, na shughuli yako inayokupa riziki..

google ujifunze jinsi ya kujitambulisha..

huwez mtongoza mtu ghafla tu hata humjui wala hakujui.. lazima mjuane hata simple intro
 
Back
Top Bottom