Wanaume hatari kuwa nao kwenye uhusiano

Yaani kwamba mtu aniigizie ana hela na kumbe hana, na nisimjue tu siku zote nitakazo kuwa nayeπŸ˜ƒ
Huja kutana n wazee wa
" kuna mchongo nausikilizia uki tick tu na kununulia...."

"Babe ongezea hela tuwekeze kwenye huu mradi naskia una return nzuri....."

"Una laki hapo ya faster kuna deal nimepata.."
" wazee wakukupiga calendar kila ukipanga kutoka out"

Ila ni bora uanze na mtu from scratch wakati bdo anajitafta kuliko kumkuta mtu ameshajipata kimaisha hujui hustle zake, hutaweza kumwambia kitu ( atakuona mme kutana ukubwani huna cha kumwambia)
Cc realMamy
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Kwahyo wewe unashauri mwanamke adate na Mwanaume ambaye ana mwanamke mwingine?
 
Kama wewe ni mwanaume kamili na hujaangukia katika kundi lolote katika hayo tajwa bas utakua na shida either matatizo ya kibaolojia, dini hasa itikadi kali au uchumi umekusaliti
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€”πŸ€”
Your browser is not able to display this video.
 
Bado sijakutana nao mkuuπŸ˜¬πŸ˜„πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…