Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hii statement, inaweza ikatamkwa na wa aina zote za wanaume zilizotajwa hapo juu kwenye post #1..!!Am not like other guys
CC realMamy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii statement, inaweza ikatamkwa na wa aina zote za wanaume zilizotajwa hapo juu kwenye post #1..!!Am not like other guys
Mmemuwekea maneno mdomoni 😅
Kwa niaba ya other guyMmemuwekea maneno mdomoni 😅
Jirushe nao malaika wa Bwana watakudaka na kukutwaa mikononi mwao nawe usijikwae kidole chako ukaumia.mbona kama nipo kwenye hatari😢
Yaani kwamba mtu aniigizie ana hela na kumbe hana, na nisimjue tu siku zote nitakazo kuwa naye😃Wewe unaelezeaje hilo kwa kuzingatia muktadha wa huba likikolea mkuu?
Huja kutana n wazee waYaani kwamba mtu aniigizie ana hela na kumbe hana, na nisimjue tu siku zote nitakazo kuwa naye😃
Amina mtumishiJirushe nao malaika wa Bwana watakudaka na kukutwaa mikononi mwao nawe usijikwae kidole chako ukaumia.
Hii naijua hii 😅😅😅kuna mchongo nausikilizia uki tick tu na kununulia...."
🙄🙄🙄Mwanaume anaeonekana mkamilifu anayeishi peke yake bila mchumba wale mke. Unashangaa kwanini mwanaume mkamilifu kama huyu mpaka leo hajampata mwanamke wa kuishi nae? unafurahi kupata nafasi ya kuwa nae. Mwanaume wa hivi atakufanyia mambo mengi mazuri atakupa hela, atakununulia vitu pengine hata kukutafutia kazi lakini Kuna siku mambo yatabadilika kidogo tu atakukimbia utabaki unajiuliza kumbe ndio maana nilimkuta yupo mwenyewe.
😂😂😂Kama wewe ni mwanaume kamili na hujaangukia katika kundi lolote katika hayo tajwa bas utakua na shida either matatizo ya kibaolojia, dini hasa itikadi kali au uchumi umekusaliti
Huyu bila shaka si mwenzetu kwanza kwenye vikao vyetu sijawahi kumuonaYaani mwanaume kabisa unaamua kuwasagia kunguni wanaume wenzako! Hii haijakaa sawa hata kidogo.
Bado sijakutana nao mkuu😬😄😂Huja kutana n wazee wa
" kuna mchongo nausikilizia uki tick tu na kununulia...."
"Babe ongezea hela tuwekeze kwenye huu mradi naskia una return nzuri....."
"Una laki hapo ya faster kuna deal nimepata.."
" wazee wakukupiga calendar kila ukipanga kutoka out"
Ila ni bora uanze na mtu from scratch wakati bdo anajitafta kuliko kumkuta mtu ameshajipata kimaisha hujui hustle zake, hutaweza kumwambia kitu ( atakuona mme kutana ukubwani huna cha kumwambia)
Cc realMamy