Wanaume hatupendani.Aibu niliyopata leo nimesikitika sana. Nimeokolewa na Mwanamke

Wanaume hatupendani.Aibu niliyopata leo nimesikitika sana. Nimeokolewa na Mwanamke

Huyu dada nlimweka kiporo mpaka kesho ntakuwa na session naye. Anieleze kwa uzuri dhamira yake ilikuwa nini. Kama hakutaka nifanye training angenambia tu na si kufanya vile.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nasubili majibu yake
 
Nilikutafuta sana kipindi tupo UHAMISHONI kule Nairobeee!
 
Gudume una uhakika hauna kibamia kweli?Maana katika mazingira uliyoeleza mashine ingeishia kutuna tu!Hata hivyo pole aisee
 
Mungu huwadhalilisha wazinzi wote hasa wale wanaotafuna wake za watu hapa JF!
 
Mbona wewe dada aliyekuwa kapanua miguu hukumsitua?
 
Mkuu nliuwa kwenye shughuli za ujenzi wa taifa busy kiasi flan. Lakini si haba tunaonana sasa... Heri kenda nenda kuliko kumi nenda rudi.

Nilikutafuta sana kipindi tupo UHAMISHONI kule Nairobeee!
 
Huyu nmemweka kiporo mpaka kesho... Wazungu wanasema one step at a time. Ila kesho nitakuwa na session naye peke yake anieleze kwa kina nini ilikuwa madhumun yake... Maana kama hakutaka nifanye presentation angesema tu na si kuniadhirisha vile mbele za watu.

Mbona wewe dada aliyekuwa kapanua miguu hukumsitua?
 
Hili kwa kweli nashindwa niseme ndiyo au siyo... Ila nmeshawah lizungumzia humu. Wengine wanasema nina kibamia wengine wanasema nina sijui nini basi ili mradi wananichanganya tu. Lakini nadhani kama una nafasi tuonane dada yangu... Waswahili wanasema" usiamini ya kuambiwa mpaka uone mwenyewe" naweza kufanya demonstration kwako halafu ukaja wapa watu feedback.

Gudume una uhakika hauna kibamia kweli?Maana katika mazingira uliyoeleza mashine ingeishia kutuna tu!Hata hivyo pole aisee
 
Back
Top Bottom