Wanaume hawa wa JF wananichefuaga sana!

Aka!mimi ni mwanaume ila kwenye hilo kundi ulosema simo maana tangu nijiunge j.f sijawahi mfuata mtu yeyote p.m na kama yupo ajitokeze namruhusu!!!hivyo hilo dongo poleni sana kwa wanaopapatikia vya dunia!!
 
Kama mtu una akili nzuri na unajitambua, huwezi "ukatongozwa" humu JF na pia huwezi "ukatongoza" humu JF. By the way wazungu wanamsemo wao, birds of a feather flock together.
 
Kamwe usiwape nafasi team buku7, ni vimeo sana...!!
 
We unapenda MTU au chama, naona umehusisha kama unashabikia chama chakavu we utakuwa mambo yako ya zamani zamani
 
Dinazarde nae ni mwanaume kbs ana misuli km john cena kuweni makini jamani
 
Kama wewe sio mwanamume, basi nakupongeza kwa andika lako mtoto wa kike
 
mi nilifikiri unaongea point kumbe pumba
afu umesahau ngombe pia wala pumba na wanaweza kukuzidi kufikiria
pole sisi hatushibikii upumbavu wa kijinga kuunga mkono chama kinachotaka maslahi binafsi ni afadhali aendelee kula aloshiba maana hata kula sana ila mwenye njaa atamaliza na kulamba sahani kabisa!
 
Mtoa thread uwe na huruma, umenifanya nicheke mbele za watu ndani ya daladala.
 
Ufinyu wa kufikiri kwa wanawake ni kawaida yao. Utakuwa MTU wa kaskazini ww. kutokana na swagger zenu kufanana. Mm ni cdm lkn mkuu wetu anabore.
Tumewabeba miezi tisa , tukawazaa, tukawalea ukome kututukana... Mtu mmoja kuandika anachojisikia kwa maslah yake sio kutukashfu wanawake wote
 
Leo nipo upande wako kwa mara ya kwanza!
Inasikitisha sana kama bado kuna mwanaume rijali ni CCM
 
ukiwagundua wako hivyo usiwape papuchi yako wacha waisome namba
 
Ishu ni chama chakavu au Sera chakavu, halafu ulishatongozwa na wangapi kwa mfano
 
Sidhani kama jf ni sehem sahihi ya kupata mtu sahihi, akija PM ujue kaja kucheza na akili yako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…