Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
- Thread starter
- #101
AiseeeBado rosa lee nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeBado rosa lee nae
Masharti yote hayo! Ndo maana mwanaume kamkimbia.Rapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha mpya instagram.
Chemical amesema Mwanaume huyo aliyempa mimba amemkimbia ndio sababu kila siku amekuwa akisema atajioa kwa sababu ndiye mwanaume aliyekuwa anamtegemea kuwa angemuoa.
Chemical amesema kuolewa muda ukifika ni lazima. Lakini amesema yeye Hana time kabisa na mwanaume anayemjia na sound za kumbadilisha kimuonekano.
Chemical amesema anajikubali alivyo Hana muda wa kusubiri wa kumbadilisha ikitokea ni maamuzi yake Kama alivyoamua sasa.
Chemical ameongeza kuwa hapendi wanaume wenye miili ya wabeba vyuma wala wanaume wanene au wenye furushi la kitambi, yeye anataka mwanaume mwenye mwili simple tu wa kawaida
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]sema tu ukifungiwa wiki nzima utakosa access ya kupata viagra ndio maana kutakua hakuna cha maana kitakachotokea.....usirudie kuongea huo ufala mbele ya wanaume wenzako
na Rosa Ree je? 🤣 🤣 🤣Aaah wapi! Kwa Chemical imegoma...
Huyu ndio kabisaaaaa!na Rosa Ree je? 🤣 🤣 🤣
Huyu ndio kabisaaaaa!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Dah! Kumbe kuna mwanaume anasimamisha akimuona Chemical! Mimi hata unifungie wiki nzima kwenye ka sero kadogo na chemical, hakuna cha maana kitakachoendelea...
Basi utakuwa na matatizo ya kimaumbile Mkuu. Tena Wa namna ile wanakuwaga watamu sana.Dah! Kumbe kuna mwanaume anasimamisha akimuona Chemical! Mimi hata unifungie wiki nzima kwenye ka sero kadogo na chemical, hakuna cha maana kitakachoendelea...
Heheheh isiwe shida uongo?Basi sawa ajioe tu sio kesi.
🤣 🤣 🤣 wanaume mna mazereu sana. Atajioaje? Ndo ni union ya mtu mbili zenye jinsia tofauti!Heheheh isiwe shida uongo?
hivi kumbe wewe ni ke!?🤣 🤣 🤣 wanaume mna mazereu sana. Atajioaje? Ndo ni union ya mtu mbili zenye jinsia tofauti!
amchore chiniRapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha mpya instagram.
Chemical amesema Mwanaume huyo aliyempa mimba amemkimbia ndio sababu kila siku amekuwa akisema atajioa kwa sababu ndiye mwanaume aliyekuwa anamtegemea kuwa angemuoa.
Chemical amesema kuolewa muda ukifika ni lazima. Lakini amesema yeye Hana time kabisa na mwanaume anayemjia na sound za kumbadilisha kimuonekano.
Chemical amesema anajikubali alivyo Hana muda wa kusubiri wa kumbadilisha ikitokea ni maamuzi yake Kama alivyoamua sasa.
Chemical ameongeza kuwa hapendi wanaume wenye miili ya wabeba vyuma wala wanaume wanene au wenye furushi la kitambi, yeye anataka mwanaume mwenye mwili simple tu wa kawaida
hivi kumbe wewe ni ke!?
duh ID ngumu kishenz
aisee!
aisee!
sasa mbona unasema wanaume tuna dharau ??
Analeta mboyoyo mingi ajioe tu Kama vipiHeheheh isiwe shida uongo?