Wanaume Hawana Dogo. Wampachika Mimba Rapper Chemical na kumkimbia

Rapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha mpya instagram.

Chemical amesema Mwanaume huyo aliyempa mimba amemkimbia ndio sababu kila siku amekuwa akisema atajioa kwa sababu ndiye mwanaume aliyekuwa anamtegemea kuwa angemuoa.

Chemical amesema kuolewa muda ukifika ni lazima. Lakini amesema yeye Hana time kabisa na mwanaume anayemjia na sound za kumbadilisha kimuonekano.

Chemical amesema anajikubali alivyo Hana muda wa kusubiri wa kumbadilisha ikitokea ni maamuzi yake Kama alivyoamua sasa.

Chemical ameongeza kuwa hapendi wanaume wenye miili ya wabeba vyuma wala wanaume wanene au wenye furushi la kitambi, yeye anataka mwanaume mwenye mwili simple tu wa kawaida
Masharti yote hayo! Ndo maana mwanaume kamkimbia.
 
sema tu ukifungiwa wiki nzima utakosa access ya kupata viagra ndio maana kutakua hakuna cha maana kitakachotokea.....usirudie kuongea huo ufala mbele ya wanaume wenzako
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah! Kumbe kuna mwanaume anasimamisha akimuona Chemical! Mimi hata unifungie wiki nzima kwenye ka sero kadogo na chemical, hakuna cha maana kitakachoendelea...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Dah! Kumbe kuna mwanaume anasimamisha akimuona Chemical! Mimi hata unifungie wiki nzima kwenye ka sero kadogo na chemical, hakuna cha maana kitakachoendelea...
Basi utakuwa na matatizo ya kimaumbile Mkuu. Tena Wa namna ile wanakuwaga watamu sana.

Umewahi sikia neno kufinyia ndani?
 
Rapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha mpya instagram.

Chemical amesema Mwanaume huyo aliyempa mimba amemkimbia ndio sababu kila siku amekuwa akisema atajioa kwa sababu ndiye mwanaume aliyekuwa anamtegemea kuwa angemuoa.

Chemical amesema kuolewa muda ukifika ni lazima. Lakini amesema yeye Hana time kabisa na mwanaume anayemjia na sound za kumbadilisha kimuonekano.

Chemical amesema anajikubali alivyo Hana muda wa kusubiri wa kumbadilisha ikitokea ni maamuzi yake Kama alivyoamua sasa.

Chemical ameongeza kuwa hapendi wanaume wenye miili ya wabeba vyuma wala wanaume wanene au wenye furushi la kitambi, yeye anataka mwanaume mwenye mwili simple tu wa kawaida
amchore chini
 
Back
Top Bottom