Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chemical oa bhna mke sio uolewe
sijui anakwama wapiRapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha mpya instagram.
Chemical amesema Mwanaume huyo aliyempa mimba amemkimbia ndio sababu kila siku amekuwa akisema atajioa kwa sababu ndiye mwanaume aliyekuwa anamtegemea kuwa angemuoa.
Chemical amesema kuolewa muda ukifika ni lazima. Lakini amesema yeye Hana time kabisa na mwanaume anayemjia na sound za kumbadilisha kimuonekano.
Chemical amesema anajikubali alivyo Hana muda wa kusubiri wa kumbadilisha ikitokea ni maamuzi yake Kama alivyoamua sasa.
Chemical ameongeza kuwa hapendi wanaume wenye miili ya wabeba vyuma wala wanaume wanene au wenye furushi la kitambi, yeye anataka mwanaume mwenye mwili simple tu wa kawaida
Jamaa labda anaumwa bwana,kila mtu anajijua
Akivua nguo lazima isimame,mwanamke ni mwanamke tu
Baharia wa Mkoani kaenda Dar kumsaidia Chemical aliyesema atajioa.Rapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha mpya instagram.
Chemical amesema Mwanaume huyo aliyempa mimba amemkimbia ndio sababu kila siku amekuwa akisema atajioa kwa sababu ndiye mwanaume aliyekuwa anamtegemea kuwa angemuoa.
Chemical amesema kuolewa muda ukifika ni lazima. Lakini amesema yeye Hana time kabisa na mwanaume anayemjia na sound za kumbadilisha kimuonekano.
Chemical amesema anajikubali alivyo Hana muda wa kusubiri wa kumbadilisha ikitokea ni maamuzi yake Kama alivyoamua sasa.
Chemical ameongeza kuwa hapendi wanaume wenye miili ya wabeba vyuma wala wanaume wanene au wenye furushi la kitambi, yeye anataka mwanaume mwenye mwili simple tu wa kawaida
hahahahahhaha kabisa aisee, kuna watu wana mb oo za ajabuDah! Kumbe kuna mwanaume anasimamisha akimuona Chemical! Mimi hata unifungie wiki nzima kwenye ka sero kadogo na chemical, hakuna cha maana kitakachoendelea...
ye si ana 1.5t tayariPicture Iko Wapi Ya Chemical
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Alisema Tuzae Ili Uchumi Ukue Kama China
Fala sana huyo jamaa yani Chemical mtoto safi kabisa yule analika vizuri sanaaaa[emoji16][emoji16] jamaa anajitapa kabisa mbele ya umma hatodinda wiki nzima akifungiwa na Chemical,watu wanakula hadi vichaa itakua huyo mtoto mlaini kabisa tena anaita
weka picha ya kemikaliRapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha mpya instagram.