Wanaume Hawana Dogo. Wampachika Mimba Rapper Chemical na kumkimbia

wanaomla chemical hawampatiii...yule inatakiwa anapewa mapenz,,madabidabi na fishfinger ya kuzidi...anapigwa mjulubeng saafi,,kesho yake tu unamuona anaanza kuomba hela za kununulia sketi na madera
 
Rapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha mpya instagram.

Chemical amesema Mwanaume huyo aliyempa mimba amemkimbia ndio sababu kila siku amekuwa akisema atajioa kwa sababu ndiye mwanaume aliyekuwa anamtegemea kuwa angemuoa.

Chemical amesema kuolewa muda ukifika ni lazima. Lakini amesema yeye Hana time kabisa na mwanaume anayemjia na sound za kumbadilisha kimuonekano.

Chemical amesema anajikubali alivyo Hana muda wa kusubiri wa kumbadilisha ikitokea ni maamuzi yake Kama alivyoamua sasa.

Chemical ameongeza kuwa hapendi wanaume wenye miili ya wabeba vyuma wala wanaume wanene au wenye furushi la kitambi, yeye anataka mwanaume mwenye mwili simple tu wa kawaida
Si alisemaga yuko bikra! jamaa kafumua na kutimua
 
Kwa hiyo Max (Maximizer) hakua mtu wake??
 
Dah! Kumbe kuna mwanaume anasimamisha akimuona Chemical! Mimi hata unifungie wiki nzima kwenye ka sero kadogo na chemical, hakuna cha maana kitakachoendelea...
Harufu tu ya manzi inatosha kuamsha sembuse huyu mtoto mzuri kabisa
 
Haya vimbaumbau
Mmeshinda tena , mpira wa kona huo.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Dah! Kumbe kuna mwanaume anasimamisha akimuona Chemical! Mimi hata unifungie wiki nzima kwenye ka sero kadogo na chemical, hakuna cha maana kitakachoendelea...
Acha utani mkuu, Mwanamme mzima hata ikipita Harrier matako ya nyani lazima mashine isimame ije kuwa chemical toto lina mguu mtam vile!
 
Kazi ya mto kitandani Ni nn?
_Kazi ya mto kitandani Ni kufunika sura ya mwanamke mbaya Kisha baharia unapiga papuchi unavuta hisia unamla Nandy_
 
Stereo alimtokeaga akamtolea nje

Pole zake Aisee future is not Always bright

[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]

Stereo hakuwa serious. Haiwezekani aende kupropose LIVE kwenye media. Kwanini wasingemalizana kimya kimya privately
 
Hahahaha duu aiseee wahuni hawana mambo ya kawaida ..
 
Back
Top Bottom