Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Wanawake wengi wanapigwa mpaka kuuwawa kwa ujinga wao tu, hamna kingine....hata wewe kama ni mwanamke ukiwa mjinga utapigwa sana .... mwanamke mjinga upigwa sana tena mpaka kuuwawa..Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
Nitake radhi Mimi dume kutoka kisanganiWanawake wengi wanapigwa mpaka kuuwawa kwa ujinga wao tu, hamna kingine....hata wewe kama ni mwanamke ukiwa mjinga utapigwa sana .... mwanamke mjinga upigwa sana tena mpaka kuuwawa..
Bibi yako hata kumwambia tu neno mshenzi sijawahi nakaa nakuuliza mwanamke unaanzaje kumpiga jamaniWashangae hao kina pawa mabula, hayo manguvu watumie kulima....
kama ni dume basi ukiona mwanamke mjinga mjinga piga sana .... kuna wakati wanakua wajinga sana tena kwa kudanganywaNitake radhi Mimi dume kutoka kisangani
Mwanamke hapingwi anashikishwa tu adabu ili anche jeuri dharau uongo na shombo wa naudhi sana hao wa Dudu hata kama huna lengo la kuumiza utajikuta ume uumiza tu.......Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
Unaongelea mke/ girlfriend au mwanamke yeyote? Kwa mke au mpenzi ni tatizo, ila kwa mwanamke mwingine yaweza kutokea kutokana na jambo baya alilotenda.Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
Hivi mkuu tuliambiwa kuvumiliana na kichukuliana kwa Kila namnaMwanamke hapingwi anashikishwa tu adabu ili anche jeuri dharau uongo na shombo wa naudhi sana hao wa Dudu hata kama huna lengo la kuumiza utajikuta ume uumiza tu.......
Eden ndugu yangu nimerithi tu hadithi za wazungu wakatuambia Mambo kedekedeUnaongelea mke/ girlfriend au mwanamke yeyote? Kwa mke au mpenzi ni tatizo, ila kwa mwanamke mwingine yaweza kutokea kutokana na jambo baya alilotenda.
Halafu hiyo Edeni iliwahi kuwepo kweli? Kama haikuwahi kuwepo kwani mpaka leo tumeshindwa kui-locate, basi hata huyo Adam na Eva/ Hawa ni story tu za kufikirika!
Na wewe ukiwa mjinga utandikwe sana hivyohivyo?kama ni dume basi ukiona mwanamke mjinga mjinga piga sana .... kuna wakati wanakua wajinga sana tena kwa kudanganywa
π―π―π―π―πππWana matumizi mabaya ya nguvu zao.
Badala mwanaume atumie kupambana kwenye ngumi za kulipwa,eti anagombana na mtu ambaye anajua kabisa atamshinda.
ππππNa wewe ukiwa mjinga utandikwe sana hivyohivyo?
ndioNa wewe ukiwa mjinga utandikwe sana hivyohivyo?
Subiri siku ukioa ndiyo utajua huwa wanaanzaje. Endelea kujipikia geto tu huku ukiendelea kujiuliza.Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
[emoji3]Subiri siku ukioa ndiyo utajua huwa wanaanzaje. Endelea kujipikia geto tu huku ukiendelea kujiuliza.
Nina miaka 39 ya ndoa nilishakuwa mkongwe wa changamoto za ndoa Ila so kumpiga mwanamkeSubiri siku ukioa ndiyo utajua huwa wanaanzaje. Endelea kujipikia geto tu huku ukiendelea kujiuliza.
Kipindi bado mdogo, nilikuwa najiuliza sana. Inawezekanaje mtu mzima anakosa hata 5,000 mfukoni? Ila nilipokua. Nilijionea mwenyewe