Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Nasikia kuna kabila fulani mke asipopigwa anajiona hapendwi. Na kuna kabila jingine mke anahesabika kuwa ni mtoto. Kwa Wakristo, mme akimpiga mke ni dalili upendo umeishapoa.
 
Kuna siku alimpiga mtoto kwa nguvu sana kuliko umri wa mtoto, mtoto aliumia sana na kulia sana tena na mimi nikiwepo, nilimpa onyo kwa mdomo kwamba hilo suala lisije kujirudia, badala ya kukausha yaishe akaleta kibase, ilikua kidogo nimuue, sitasahau zile hasira za ile siku, infact katika vitu vitakavyosababisha niue mtu siku moja, ni kuona watoto wangu wakisababishiwa maumivu makali ya kimwili, kwa hilo, nitakuua.
 
naona wanawake mmegawanyika kuna wengine ukimpiga hata kibao tu kesi yake si mchezo
Hata mimi ukinipiga siwezi kukuelewa maana najijua kwa mazingira yoyote yale siwezi kukupa nafasi ya kunipiga. Ukinipiga ni sawa na umenionelea na sitakuelewa
 
Ila huoni ajabu mwanaume kupigwa na kuumizwa na mwanamke.
Maajabu hayaishi kwenye dunia ya mola
 
Kama ulimpiga mbele ya hao hao watoto basi wewe ni mtu wa hovyo sana mkuu.
 
Kama ulimpiga mbele ya hao hao watoto basi wewe ni mtu wa hovyo sana mkuu.
Hapana, nilimwambia mdada aingie nao chumbani, then nilishusha kipigo heavy haijawahi tokea kwa kweli, hasira mbaya sana aisee
 
Mwanamke anijibu hivyo? bora waseme sina akili ila kichapo atakioga
 
Mie napenda mwanaume anizidi akili....yaan kila kitu nikimpasia akisolve....yaan hapo ntakaa! Mwanaume mkorofi mie tutalazana ndani maana na mm mtata balaa,hao playboy yes wazuri wanakata KIU
kumbe we ni mwanamke?

anyway nasaport kipigo kwa mke ila sio heavy
 
Oa kwanza ndio utajua kama tambi ni futari au kuni za jiko!

Af usimfananishe zama za Adamu na leo ambako sampuli ziko za kutosha, kama Adamu angeletewa upumbavu leo angemchukua hata Sanchi! Eva angebaki na ujinga wake πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
hahahaa
 
Hamna mtu anamuoneaga mtu ila tu kule kupishana handling yake ndio inaweza kuzaa makofi kama hautajitambua wewe ni mwanamke!

Mtu ana temper tayari mishipa imesimama nawewe unaendelea kumjibiza kunya aisee kitakachokupata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hili swala linajadilika jf ila mtaani hali ni tofauti kabisa.

kuna mwingine alienda mbali alithubutu kusema mke wake akizingua hua hampigi, humfuata na kuanza kumpiga mabusu mpaka mke anaomba msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…