Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Huruma inaweza kuniingia nikakutoa ila ukirudia tena kosa haki ya nani hapo utaona upande wangu mwingine wa roho jinsi ulivyo mbaya.Na ukinipeleka ndani utanitoa sababu unaogopa kulala mwenyewe najua [emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui uzito wa mapenzi wewe ndio maana hata maaskari hizo kesi hawasikilizagi 🤣🤣🤣 ukifika wanakupanga mchukue mumeo wwHuruma inaweza kuniingia nikakutoa ila ukirudia tena kosa haki ya nani hapo utaona upande wangu mwingine wa roho jinsi ulivyo mbaya.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Anachomaanisha yeye ni ndoa ya Flora na ndoa ya Ben Pol..hamaanishi kwamba wameoana.Lini ben alimuoa flora
Wewe ndo mwanaume....! Sio wote wana midomo...! Bas tu hamjatufahamu wanawake tunapenda niniHahaha, shemasi hiyo midomo muwe makini nayo sana. Mke mwema atauchunga ulimi wake bwana, sio kuropoka na kufunga vibwebwe. Tofauti na hapo ni vidume wachache watavumilia upuuzi, mimi sijawahi kupiga though, nina namna yangu ya kushughulikia "kero" za namna hiyo.
Nani huyo alitukanwa mbele za watu?Hivi unamtukana mmeo mbele za watu au watoto unategemea nn kwa mfano.
Mkichunga kauli zenu ndoa zenu zitadumu.Mnaharibiwa na tamthilia zaidi
Utatoka ukiwa umeshakwiva kwelikweli.Hujui uzito wa mapenzi wewe ndio maana hata maaskari hizo kesi hawasikilizagi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukifika wanakupanga mchukue mumeo ww
Zamani kabla sijaoa nilikuwa na wadharau sana wanaume wanaowapiga wake zao nikawaona hawajui kupenda wala hawajui dhamani ya mwanamke, sasa nilipoingia kwenye ndoa baada ya miezi sita tu nikagundua wale wanaume wanaakili sana kuwa tandika wake zao,tena kama huna kiasi unaweza ua aiseeHabari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] unalala mbele mapema!
Hahaha siwez maliza siku tatu! Kwani wanawake si mnafanyaga mambo out of hasira au unadhani hatujui😂😂😂!!! Unafanya utoto ukiadhibiwa unajifanya nunda mwisho ukiona pametulia akili ikirudi unaona ulikosea sana mume alikuwa sahihi! Unamfata tu kumtoa mmeo!
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu t
Wanawake wengi wanaponzwa na kujifanya wajuaji, pamoja na kujifanya kuwa wajuaji na majibu ya ovyo. Mwanamke mwenye heshima kwa mme wake hata siku moja huwezi sikia kapingwa na mme wake labda huyo mume awe zuzu.Ila mwanaume anayepgia mie hata mzuka naye unakata kbs..au dume la kufoka foka muda wote mie naku🚮🚮
Hv hii kanuni kuwa nyie ndo wajuaji wa mwisho mmeitoa wapi? Kwamba nisiargue au? Kwamba kila utakachosema kisa ww ni me bas iwe imepita..nisihoji?? Kwanini mna kasumba za namna hii kujiona nyie ndo kila kitu ? Mie nahoji na nnapinga kwasababu ..! Siwez ambiwa kila kitu nikakubali..nna haki ya kuuliza,kusikilizwa,kushauri,kukemea,! NkHabari wazeee kwa vijana?
Wanawake wengi wanaponzwa na kujifanya wajuaji, pamoja na kujifanya kuwa wajuaji na majibu ya ovyo. Mwanamke mwenye heshima kwa mme wake hata siku moja huwezi sikia kapingwa na mme wake labda huyo mume awe zuzu.
Utakaa mwezi mzima.Hahaha siwez maliza siku tatu! Kwani wanawake si mnafanyaga mambo out of hasira au unadhani hatujui[emoji23][emoji23][emoji23]!!! Unafanya utoto ukiadhibiwa unajifanya nunda mwisho ukiona pametulia akili ikirudi unaona ulikosea sana mume alikuwa sahihi! Unamfata tu kumtoa mmeo!
Hahahah sasa kama una discpline maswala ya makofi utayaskia kwa mbu tu! Mbu pekee ndio watapigwa makofi 🤓🤓🤓Utakaa mwezi mzima.
Mimi sitanii..
Kwanza wakati wa uchumba inabidi tukubalieni kabisa,hakuna vipigo,kama haiwezekani basi kila mtu ashike njia yake.
Sijalelewa mazingira ya kupigwa na nina descipline ya kutosha kuliko hata hao ambao walikuwa wanatandikwa sana.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kumpa kisago mwanamke nia aina ya utamaduni wa kimapenzi wa kiafrika.Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
Dah...ameoa nadhani huyu men tayari!!....hongera mtoto kujitambua kuna mijitu africa inaona kupiga ndo ukidume
Umesahau kwamba Adam hakuwa na wivu kwa Eva manake hakukuwa na njemba nyingine iliyokuwa ikimmendea evaHabari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
Dah...ameoa nadhani huyu men tayari!!....hongera mtoto kujitambua kuna mijitu africa inaona kupiga ndo ukidume
Safi kabisa Mkuu...huo ndo uanaume! Ngumu sana mwanaume anayejitambua kupiga piga!Huyo sio wa kwangu Rafiki, japo namimi nampatia mafunzo hayo hayo.
Tuliamua hivyo kwenye kikao chetu cha Men.."...never put your hand on a woman, strictly prohibited... "