Ethan Cruz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 231
- 331
Nishakuambia sipigi mtoto wa mtu mimi, nina njia zangu za kizalendo kabisa.Hana lolote huyo...anajifaragua hapa![emoji28]
I appriciate youNishakuambia sipigi mtoto wa mtu mimi, nina njia zangu za kizalendo kabisa.
Huyo manzi anamtegemea mwana kwa 100% ndo maana unaona anagugumia!duh iyo kwly kali na mbaya kz ninapoishi dirisha langu linapakana na nighbour hood mmoja ivi yn huyu jamaa anamfua manzi ake htrr af anadunda ile ya kufunda yn anapiga km anagusa kz hataki kelel mwanadada nae anagumia kimya kimya ozaaa anachuliwa mt had bs mpk si wa ng'ambo huku tunaona how come yn jamaa anazingua unataman ukamkunje ila daaah ndo ile t unaacha wt na maisha yao lkn kumdunda manzi jau
Sometimes you avoid arguments, for example, during the fight, leave the area so that you do not have to throw a fist at her for free
Sisapoti matusi,iwe hadharani ama sirini..Upendo uja panapo heshima na utii.Kumtukana mme wako mbele za watu ni kumuacha uchi.
HakikaVuta hata bangi ila cha msingi tu, usimpige binti wa watu.
Ukioa mwanamke mwenye asili ya hasira au uropokaji tegemea matusiSisapoti matusi,iwe hadharani ama sirini..
Ila mwanamke siyo kichaa hadi aanze kutukana tu pasi na sababu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ongera kwa hilo lakini kumpiga mwanamke hakuna anaye ninacho jua makosa yapo mengi omba yasikukute. Badala ya kupiga utachingaNina miaka 39 ya ndoa nilishakuwa mkongwe wa changamoto za ndoa Ila so kumpiga mwanamke
Kuna mengine lazima umjibu tu, ukimnyamazia unakiburi[emoji23]Mie sisumbuki na ntu aise!
Unaharibiwa sebule kisha anaenda kutafuta mrembo zaidiNdiyo[emoji23][emoji23]
Kipigo hakivumiliki..mwishowe uje kuuliwa bure!
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Siku nyingine andika vizuri basi ili tusome na kuelewa,.Si hivi daa !duh iyo kwly kali na mbaya kz ninapoishi dirisha langu linapakana na nighbour hood mmoja ivi yn huyu jamaa anamfua manzi ake htrr af anadunda ile ya kufunda yn anapiga km anagusa kz hataki kelel mwanadada nae anagumia kimya kimya ozaaa anachuliwa mt had bs mpk si wa ng'ambo huku tunaona how come yn jamaa anazingua unataman ukamkunje ila daaah ndo ile t unaacha wt na maisha yao lkn kumdunda manzi jau
Sometimes you avoid arguments, for example, during the fight, leave the area so that you do not have to throw a fist at her for free
Na asubuhi nimetoka kumdunda mwenzao..Hahahaha nkmecheka kaa sauti hadi mke kanishangaa...JF raha sana hakika.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
mhhh we unahitajika miwani mzeiyaSiku nyingine andika vizuri basi ili tusome na kuelewa,.Si hivi daa !
[emoji3][emoji3][emoji3] tatizo si kuona yaani kuchanganya herufi hapa nina miwani lakini yakupunguza lens hivyo nipo vizuri sanamhhh we unahitajika miwani mzeiya
hahahah sawa bn basi kapunguze iyo lens ili twende sawa kijana[emoji3][emoji3][emoji3] tatizo si kuona yaani kuchanganya herufi hapa nina miwani lakini yakupunguza lens hivyo nipo vizuri sana
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
hahahaha yechu sana ila kelebu na mabanzi mpimie km ya 500MBNgumi hapana, ila makofi na kelebu nitampa za kutosha kama ikihitajika kufanya hivyo. Kelebu huwa zinasaidia ku'restore settings zao.
Sitaki kuwa mnafiki kabisa katika hili.