Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Ila mwanaume anayepgia mie hata mzuka naye unakata kbs..au dume la kufoka foka muda wote mie naku🚮🚮Subiri siku ukioa ndiyo utajua huwa wanaanzaje. Endelea kujipikia geto tu huku ukiendelea kujiuliza.
Kipindi bado mdogo, nilikuwa najiuliza sana. Inawezekanaje mtu mzima anakosa hata 5,000 mfukoni? Ila nilipokua. Nilijionea mwenyewe
Hivyo ndivyo ulivyofundishwa kwenu?ndio
Hakuna mtu mkamilifu chini ya jua. Wote ni dhaifu ndiyo maana umekubali kuolewa na huyo jamaa anayepiga.Ukiona mwanaume anapiga piga jua huyo ni dhaifu..hajakamilika...!
Ukishajua unataka nini kwenye maisha hayo mengine hayakusumbui. Ukiona mwenza wako anatabia hiyo, unapiga chini mapema.Ila mwanaume anayepgia mie hata mzuka naye unakata kbs..au dume la kufoka foka muda wote mie naku🚮🚮
Wanawake wengi ndiyo huwa wanapenda wanaume wa hivi. Wanapenda sana wanaume playboy, wakorofi, walevi n.kIla mwanaume anayepgia mie hata mzuka naye unakata kbs..au dume la kufoka foka muda wote mie naku🚮🚮
On the other hand, mwanamke unaanzaje kumpiga mwanaume?Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
Waulize wanawake mkuuOn the other hand, mwanamke unaanzaje kumpiga mwanaume?
Ni jambo jema. Umetoa mfano kwenye ndoa yako.Nina miaka 39 ya ndoa nilishakuwa mkongwe wa changamoto za ndoa Ila so kumpiga mwanamke
Mie napenda mwanaume anizidi akili....yaan kila kitu nikimpasia akisolve....yaan hapo ntakaa! Mwanaume mkorofi mie tutalazana ndani maana na mm mtata balaa,hao playboy yes wazuri wanakata KIUWanawake wengi ndiyo huwa wanapenda wanaume wa hivi. Wanapenda sana wanaume playboy, wakorofi, walevi n.k
Ndiyo mapenzi ambayo hudumu mara nyingi
Oa kwanza ndio utajua kama tambi ni futari au kuni za jiko!Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Aisee eti"Hao wadudu"Mtu kama wewe Mwanamke anapata wapi ujasiri wa kukuheshimu kama mume ikiwa una lugha chafu zaidi ya kinyesi.Mwanamke hapingwi anashikishwa tu adabu ili anche jeuri dharau uongo na shombo wa naudhi sana hao wa Dudu hata kama huna lengo la kuumiza utajikuta ume uumiza tu....
Hahahah yani mnalazanaje ndani iwe bhojo!?😂😂😂 Huyo atakuwa shosti wako labda! Af we dada una character kama za wale maaskari wakike sijui kwanini hukwendaga CCP jamani!!!Mie napenda mwanaume anizidi akili....yaan kila kitu nikimpasia akisolve....yaan hapo ntakaa! Mwanaume mkorofi mie tutalazana ndani maana na mm mtata balaa,hao playboy yes wazuri wanakata KIU
😃😃😃😃😃😃😃Ni jambo jema. Umetoa mfano kwenye ndoa yako.
Kuna ndoa mume wala mke hawashikiki. Mfano mzuri ndoa ya Frola Mbasha na Ben Paul
hahahahah wahuni sio watu eti “WaDudu”Aisee eti"Hao wadudu"Mtu kama wewe Mwanamke anapata wapi ujasiri wa kukuheshimu kama mume ikiwa una lugha chafu zaidi ya kinyesi.
Ukinionea naenda polisi🤭! Hamna niko very polite..ila sipendi kuonewa . Nashindwa kbs kuvumilia ujingaHahahah yani mnalazanaje ndani iwe bhojo!?😂😂😂 Huyo atakuwa shosti wako labda! Af we dada una character kama za wale maaskari wakike sijui kwanini hukwendaga CCP jamani!!!
😀😀😀😀😀😀Oa kwanza ndio utajua kama tambi ni futari au kuni za jiko!
Af usimfananishe zama za Adamu na leo ambako sampuli ziko za kutosha, kama Adamu angeletewa upumbavu leo angemchukua hata Sanchi! Eva angebaki na ujinga wake 😅😅😅
Sasa mwanamke kama hakuvimbii ukimpiga si utaonekana mwendawazimu braza 😂😂😂!!!Nina miaka 39 ya ndoa nilishakuwa mkongwe wa changamoto za ndoa Ila so kumpiga mwanamke
Hamna mtu anamuoneaga mtu ila tu kule kupishana handling yake ndio inaweza kuzaa makofi kama hautajitambua wewe ni mwanamke!Ukinionea naenda polisi🤭! Hamna niko very polite..ila sipendi kuonewa . Nashindwa kbs kuvumilia ujinga