BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,992
Siku hizi wanapewa kichwa kwa serikali kadhaa duniani kuwashika masikio na dawati la kuwalinda wasionewe.Hahahaha hapo ni makofi na kumuelekeza mlango ulipo akajifunze adabu mbele kwa mbele huko!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama mtoto mzuri we unatukazia wazee unategemea tutaopoa nini zaidi ya mizoga [emoji23][emoji23][emoji23] inayosumbua mjengoni
Wachungaji sindio wanawabanduaga hawaSiku hizi wanapewa kichwa kwa serikali kadhaa duniani kuwashika masikio na dawati la kuwalinda wasionewe.
Mbaya sana mnaowaita wachungaji hasa wa kizazi kipya nao wamejibebesha zigo now wanasema "ndoa ikikushinda mwanamke using'ang'anie usijefia kwa mwanaume🤬!!.
Sas unataka wang'ang'anie wafe...Siku hizi wanapewa kichwa kwa serikali kadhaa duniani kuwashika masikio na dawati la kuwalinda wasionewe.
Mbaya sana mnaowaita wachungaji hasa wa kizazi kipya nao wamejibebesha zigo now wanasema "ndoa ikikushinda mwanamke using'ang'anie usijefia kwa mwanaume🤬!!.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee inaonekana huwa unawatembezea kichapo sanakama ni dume basi ukiona mwanamke mjinga mjinga piga sana .... kuna wakati wanakua wajinga sana tena kwa kudanganywa
Moja la pua,ngebe kwisha.Kofi moja ndio dawa ya kukata ngebe 😂 unaambiwa nyamaza unaendelea kuropoka
Hahahahah kwahio we una akili kuliko baba yake ambaye amekuzidi umri? Hebu heshime wazee basi mkuu!
Nashangaa huku Tarime kwetu eti mwanaume anapiga mke na panga,mi babu yangu alinifundisha jinsi ya kumpiga mwanamke asirudie kosa tena.
Alinifundisha jinsi ya kumpiga Kofi moja tu,yaani aliniambia unageuza mkono yaani badala ya kumchapa kofi na kiganja we unamchapa kofi kwa kutumia
knuckles vifundo vya vidole unahakikisha unalenga pua tu,na unajua pua ina vishipa Vingi vya damu,kwa hivyo lazima itamwaga damu nyingi baada ya kumsokota hilo kofi.
Hiyo damu itamwagikia kifuani na itachafua nguo zake,kila akiona hiyo damu itamchanganya atakimbia akipiga ukunga wa hatari akijua amepasuka uso mzima,atakuheshimu balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PointUnaongelea mke/ girlfriend au mwanamke yeyote? Kwa mke au mpenzi ni tatizo, ila kwa mwanamke mwingine yaweza kutokea kutokana na jambo baya alilotenda.
Halafu hiyo Edeni iliwahi kuwepo kweli? Kama haikuwahi kuwepo kwani mpaka leo tumeshindwa kui-locate, basi hata huyo Adam na Eva/ Hawa ni story tu za kufikirika!
Mijanamke gube gube itaenda kituoni na hizo nguo zilizojaa damu mandata watakuja kukubeba msobemsobe hadi shimo la tewa huko utakaaa weeee huku hao mandata waliokuweka ndani ndio watakuwa wanamnyandua huo mlupo wakoNashangaa huku Tarime kwetu eti mwanaume anapiga mke na panga,mi babu yangu alinifundisha jinsi ya kumpiga mwanamke asirudie kosa tena.
Alinifundisha jinsi ya kumpiga Kofi moja tu,yaani aliniambia unageuza mkono yaani badala ya kumchapa kofi na kiganja we unamchapa kofi kwa kutumia
knuckles vifundo vya vidole unahakikisha unalenga pua tu,na unajua pua ina vishipa Vingi vya damu,kwa hivyo lazima itamwaga damu nyingi baada ya kumsokota hilo kofi.
Hiyo damu itamwagikia kifuani na itachafua nguo zake,kila akiona hiyo damu itamchanganya atakimbia akipiga ukunga wa hatari akijua amepasuka uso mzima,atakuheshimu balaa.
Mkuu ukioa Tarime utaleta mrejesho mke usipompigapiga ataamini unachepuka,kwao mapenzi ni pamoja na kumpiga,kwa hiyo mke anafundishwa jinsi ya kukuchokoza ili ukasirike umpige ili roho yake itulie.Baba yako alikufundisha ushenzi, achana nao.
Kwa MsisiriNitake radhi Mimi dume kutoka kisangani
Haha hahaaaaa...JF raha sana Chifu, mtu atakuwekea kila aina ya sifa na vigezo kama vile Elimu dunia"Diploma/Degree, Utajiri/majumba magari au kampuni hewa, biashara feki kama wale wazee wa forex ili kujitetea kwa ID zetu bandia sababu hatujuani kumbe ni upuuzi mtupu.Heheheh hadithi za Juma na Uledi sio