Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,371
Habari ya Eden ni Ukweli. Hakuna uongo katika BibliaEden ndugu yangu nimerithi tu hadithi za wazungu wakatuambia Mambo kedekede
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa akili hawana unategemea wafanyeje?
Huyo financial services ni mwandani wangu ndio maana anaelewa 😁😁😁Extrovert wahi huku kuna Ke mmoja aliyenusurika ktk vita vya maji maji anayeelewa kuwa kipigo huwa kinawajenga vizuri upya kiakili[emoji12][emoji3526]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Mama we unajua mie siwezi kukuua maana kubaki mjane sitaki 😂😂😂 ila utundu umeacha sikuhizi hadi raha!Ila siyo ndiyo mtupige kama mnaua simba 😒😏
😍 kwahiyo nikikizingua utakua unanizingua babe?? Ila romantic mzinguo, tukonzi twa mahaba kidogo ili nisiumie eeh😀Huyo financial services ni mwandani wangu ndio maana anaelewa 😁😁😁
Ukoloni ndio unajenga nidhamu ila wajinga wachache wanaita ushamba! Wacha tuendelee nao maana ndio umetukuza mpaka hapa tulipofikiaHaha...cha ajabu nilikuwa nikidhani naonewa kumbe nilikuwa nafundishwa njia sahihi kabisa kimaadili.
Leo hii ule mtaa mitoto iliyokuwa ikilelewa kimayai ni miteja, mijambazi na mingine imeishia kunywa gongo na sura zao ni choka mbaya sana.
Namshukuru sana Baba mzazi kwa kunilea kibaba baba japo wapo wengine walionyoka kwa tabia njema ambapo kwa enzi hizo Baba zao walikuwa wakitafsirika wakoloni kwa sababu ya kutembeza bakora kwa watoto wao.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Siwezi kukupiga za ukweli ukweli maana wewe ndio kiburudisho changu mlimbwende nambari Ekkk!!! Nakushtua tu kakofi kisha nakubembeleza usiku😍 kwahiyo nikikizingua utakua unanizingua babe?? Ila romantic mzinguo, tukonzi twa mahaba kidogo ili nisiumie eeh😀
😀😀 kumbe unaogopa kuwa mjane ila si kwamba unanipenda fyuu huna lolote😀Mama we unajua mie siwezi kukuua maana kubaki mjane sitaki 😂😂😂 ila utundu umeacha sikuhizi hadi raha!
Nakupenda bana yani wanawake nyie mna shida 🤣🤣🤣 hahah nimekumbuka stand up comedian mmoja alivyokuwa anasema! Mwanamke ndio kiumbe pekee ambae anaanzisha zogo na baadae kukuamishia lawama! Samahan sijasema nakupenda bebe ila isiwe kesi mi nakupenda sana yani🥰🥰🥰😀😀 kumbe unaogopa kuwa mjane ila si kwamba unanipenda fyuu huna lolote😀
Kiukweli kwenye kuhamisha lawama tuko vizuri! Mi hadi huwa nalia nnavohamisha lawama yaani utaonekana umenikosea wewe, ila si makusudi huwa inatokea tu😀😀Nakupenda bana yani wanawake nyie mna shida 🤣🤣🤣 hahah nimekumbuka stand up comedian mmoja alivyokuwa anasema! Mwanamke ndio kiumbe pekee ambae anaanzisha zogo na baadae kukuamishia lawama! Samahan sijasema nakupenda bebe ila isiwe kesi mi nakupenda sana yani🥰🥰🥰
Hahahah yani! Mwenzio aliulizwa shati langu flani umeliweka wapi akajibu hajui kwani yeye ndio anavaaga! Jamaa akanyamaza akambiwa kwahio umeamua kunidharau sio...akasema bby mie sinimetaka shati na hujui lilipo imetosha kwan lazima ugomvi. Mwanamke akasema kwahio kumbe mi mgonvi sikuhizi 🤣🤣🤣 shughuli ikawa pevuKiukweli kwenye kuhamisha lawama tuko vizuri! Mi hadi huwa nalia nnavohamisha lawama yaani utaonekana umenikosea wewe, ila si makusudi huwa inatokea tu😀😀
Kwahiyo unaogopa kuniuwa ili tu usibaki mgane otherwise nikafie mbali huko eeh, semaa 😒
Nikifika huko ,talaka tayari,nikifika wewe kwakona Mimi kwanguUkinionea naenda polisi[emoji2960]! Hamna niko very polite..ila sipendi kuonewa . Nashindwa kbs kuvumilia ujinga
Kumpga teke chura...ndo defn ya talaka aise..hhaaa unamtishia mwanamke talaka? Labda madependantNikifika huko ,talaka tayari,nikifika wewe kwakona Mimi kwangu
KwakweliUkinionea naenda polisi[emoji2960]! Hamna niko very polite..ila sipendi kuonewa . Nashindwa kbs kuvumilia ujinga
Case closedUnampiga sababu unamlisha hakuna lingine ,ndo maana huezi ona akina malioo wakiwapiga wake zao,huezi kumpiga,anaekulisha ,