Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Kuna wengine wamelelewa kikamanda lakini nao wamekuwa wahuni hawafai kwenye jamii
 

Ni mwendo wa makofi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maamuzi ni yako, although sijaandika wang'ang'anie, kila mtu ana mustakabali wa maisha yake japo maandiko hayapindishi dhambi kuwa sufi!.
Hatujaolewa ili tunyanyasike...tumeolewa kusaidiana....
Ukiona huwez sepa kiroho safi
 
Yani unamjua hadi Undertaker? Aisee
 
Kuna kale kakichapo ambacho akikaa huwa anakukumbushia yaani ana kamiss , si unapiga kama unauwa chatu.

Unatia tu vibao viwili vitatu siku moja moja ili msizoeane sanaaa, akakuona shangazi yake.

N.b
Sijasema muwapige wanawake , kipigo kizuri ni kipo sehemu tatu

1).Unamchapa na bulungutu la pesa misimbazi misimbazi kama 50 hivi.

2).Unamchapa bed ile haswa .

3).unamchapa na zawadi za suprize .

Hii inawahusu wanandoa tu.
 


HAO WANAUME WALISHAPOTEA
 
kupiga mwanamke sio kitu kizuri.ila kupiga mwanamke inawezekana kabisa

assume. mwanamke ana kwambia "nipige kama wew mwanaume kweli"
 
Tatizo kubwaaa ni mdomo tu ndio unasababishwa wachezee kichapo.....ukifanya kosa ukajishusha hakuna mwanaume anayeweza kukupiga........
 
Sipendi hii tabia ila kuna wanawake wanapenda kupigwa. Mwanamke kupigwa pigwa na mwanaume wako ni wewe umeweka mazingira hayo.
Mkumbuke pia kuna wanawake wanapiga wanaume. Hao nao wasiguswe?

Mwanaume usimpige mwanamke akikushinda peleka kwao.

Mwanamke usiwe sababu ya kupigwa kwako halafu uende kulia umepigwa na mwanaume as if na yeye hana nyongo kama wewe.
 
Inatokeaga ghafla tu,unakuta kulkuwa na tatzo mkapgizana kelele pale ukamwambia yaishe tena unakuta yeye ndo alkuwa na tatzo umemwambia tu ili kumrekebisha lakin ataongea karibia lisaa lizima baadae kelele ztakuchosha utamwambia bas nyamaza yameisha ila yeye anaendelea tu,
Hapo hasira huwa znakuja ghafla na nguvu za ajabu unampga kipigo kmoja kkali cha nusu sekunde,ila siwez kuuwa au kujeruh huwa nko makin nachagua pakupga
 
Sijakuelewa vizuri. Let us say una mke. (hiki ni kisa cha kweli kimemtokea jamaa). Yule mwanamke ana mtoto wa miezi 6 na umerudi nyumbani, wakati wa sikukuu, kutoka safarini ukakuta ameenda night club na mtoto yuko na house girl analia. Aliporudi ukamuuliza kwa nini amefanya hivyo yeye akajibu ''hebu ondoa useng* wako hapa, huoni leo ni sikukuu? Hutaki nifurahi?'' Kwa mujibu wa sentensi yako ya mwisho, hapo utaonyeshaje hujali?
 
acha maisha yaendelee.unafikiri ukinyanyua mkono kwa mwanamke anayekutamkia neno(msxnge)litafata neno gani kutoka kinywani mwake!!!!!
utapiga uue,utafungwa.
hapo unakausha maadam mtoto hakupewa bia unashukuru unasubiri akue au umpeleke kwa mama yako kila mtu abaki na uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…