Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Itakuwa umeshaanza kumung'unywa wewe
Weka pichaJamani na miaka yangu yote nimekuwa nikijiuliza sana hukusu hizi nywele sijawahi kuzinyoa ila sometime seems like zinakera ndo nauliza hua mnazinyoa na mnazinyoaje wakuu stailstail gan mnakaa
Pia kama hazitolewi niambieni kwa wenye swali hili natumai leo tutapata majibu toka kwa baba na kaka zetu